Kwanini madada wa CRDB wamepunguza maringo?

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Kuna madada wawili watatu nawajua ambao walikuwa na maringo balaa siku za nyuma lkn oversudden nawaona wanabadilika kwa kasi ya 4G.

1.Mfano kuna mmoja nilisoma nae siku za nyuma,alikuwa montress alikuwa hanipendi balaa yaani kwa siku alikuwa ananiandika mara tatu swahili speaker lkn cha ajabu jana ananitumia txt eti MSAGA SUMU hivi unajua nilkuwa nakukubali tokea siku ya kwanza.

2. Kuna dada mwingine alikuwa CRDB kijitonyama kaunta,niliwahi kumuomba chenji ya buku 10,aisee aliniangalia jicho baya halafu akaniambia niende kwenye ATM kuchukua chenji, basi leo nimeenda na mishe zangu zingine ile kuniona tu akaniwahi kaka unahitaji chenji? Nikisema tayari nimeisha chenji kwenye ATM.

Wadau hii hali inaweza kuwa inasababishwa na hasara zinazopata hizo benki au vipi? Au ndo wanajua kuwa kuna layoff za maana inafuata so wanaanda mazingira mazuri ya sisi madalali kuuza magari yao ya mkopo?

Au kuna kitu kingine mimi sikijui?
 
mimi kama mdada mwaka huu umekuwa na mafanikio sana kwangu.kuhusu maisha sijui kusoma namba nasoma tu humu
masponsor wapo tu kama umeandikiwa haitaji nguvu wala nini.namba mtazisoma nyie wanaume .wanaume wachoyo ndo mnavojipa moyo hivo ila jua wewe ukibana wenzio wanaachia mchana kweupe
 
Duh!!! Mimi sio mteja wa crdb, ila kuna mabwege wa nmb tanga walinikwaza mpaka nikafunga account. Labda na wao watakuwa wamebadilika kwa kifinyo hichi.
 
mimi kama mdada mwaka huu umekuwa na mafanikio sana kwangu.kuhusu maisha sijui kusoma namba nasoma tu humu
masponsor wapo tu kama umeandikiwa haitaji nguvu wala nini.namba mtazisoma nyie wanaume .wanaume wachoyo ndo mnavojipa moyo hivo ila jua wewe ukibana wenzio wanaachia mchana kweupe
Ukishusha bei nicheki.😱
 
Ujumbe ume fika
 
Hata masponsor wamepunguza speed aisee
 
mbona wanawake wanasaidiwa tu ? kuna watu wanadai eti wahongaji hawapo kisa magufuli .wakati yeye hajawai kuhonga toka enzi za nyerere! wahongaji wapo na hawaaachi kwa hali yoyote
Kama pesa ipo mbona fresh tu
 
mimi kama mdada mwaka huu umekuwa na mafanikio sana kwangu.kuhusu maisha sijui kusoma namba nasoma tu humu
masponsor wapo tu kama umeandikiwa haitaji nguvu wala nini.namba mtazisoma nyie wanaume .wanaume wachoyo ndo mnavojipa moyo hivo ila jua wewe ukibana wenzio wanaachia mchana kweupe
[emoji180] [emoji180] imepenya iyooo
 
mbona wanawake wanasaidiwa tu ? kuna watu wanadai eti wahongaji hawapo kisa magufuli .wakati yeye hajawai kuhonga toka enzi za nyerere! wahongaji wapo na hawaaachi kwa hali yoyote
unaonga ili iweje, au upate nini!

Na kwanini ujiweka kuhongwa hongwa..! Hujiwezi, huna akili timamu, wewe ni cheap, wewe ni bidhaa.. kwanini ukubali kuhongwa...? Nakuuliza wewe Miss Nafatufa
 
Kuna madada wawili watatu nawajua ambao walikuwa na maringo balaa siku za nyuma lkn oversudden nawaona wanabadilika kwa kasi ya 4G.
1.Mfano kuna mmoja nilisoma nae siku za nyuma,alikuwa montress alikuwa hanipendi balaa yaani kwa siku alikuwa ananiandika mara tatu swahili speaker lkn cha ajabu jana ananitumia txt eti MSAGA SUMU hivi unajua nilkuwa nakukubali tokea siku ya kwanza.
2.kuna dada mwingine alikuwa CRDB kijitonyama kaunta,niliwahi kumuomba chenji ya buku 10,aisee aliniangalia jicho baya halafu akaniambia niende kwenye ATM kuchukua chenji, basi leo nimeenda na mishe zangu zingine ile kuniona tu akaniwahi kaka unahitaji chenji? Niksema tayari nimeisha chenji kwenye ATM.
Wadau hii hali inaweza kuwa inasababishwa na hasara zinazopata hizo benki au vipi? Au ndo wanajua kuwa kuna layoff za maana inafuata so wanaanda mazingira mazuri ya sisi madalali kuuza magari yao ya mkopo?

Au kuna kitu kingine mimi sikijui?
Itakuwa somo la customer care limewaingia, Huduma kwa mteja
 
Back
Top Bottom