Kwanini madaktari wengi hawaamini kuwepo malaria sugu?

Kwanini madaktari wengi hawaamini kuwepo malaria sugu?

LIFE HELP

Senior Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
149
Reaction score
71
Salama Members ?

Najiuliza sana ni kwa nini madactari walio wengi huwa hawaamini kuwepo malaria sugu ?
Yaani mgonjwa anatumia dose kamili tena baada ya kuthibitisha kuwa anao parasites wa malaria, lakini baada ya wiki tatu ni mgonjwa tena na kuthibitisha kwa kupima vile vile ,

Anaamua kubadili dawa na kukamilisha dose bado yana jirudia yale yale kila baada ya wiki tatu hadi mwezi miaka nenda rudi ?

Ni nini ushauri wenu ?
Malaria sugu inanitesa! Dawa gani itanipa tiba ya kudumu?
MALARIA ! MALARIA ! MALARIA ! @ mwezi ,for 20yrs , MUHAS-msaada, Zawadi shs 2mln.MUHAS
 
Matatizo yao tu ya kufikiri Mkuu ma doctor wa ckuiz jau sana
 
wakati mwingine unaweza kudhani doctor hajatilia maanani tatizo lako, ila kumbe sio, amekusikia na anatamani kufanya kutu kikubwa kwa ajili yako ila tatizo ni muda tu wa kukufuatilia na kanuni za kazi
 
Back
Top Bottom