kwanini mademu wanasikia kiu

kwanini mademu wanasikia kiu

kwani wewe upendi kupewa heshina MADAM, MADAME...

unajua saa nhingine ukichakachua lugha za watu unatengezeza matusi..
mie sipendi hili jina (demu)
kama umeamua kuonyesha hesha basi oyesha kama inavyotakiwa...
 
shosti nimelipenda jibu lako.....Mtu anapouliza upuuzi mpe jibu la kipuuzi ila usiwe kama MAKAMBA utoe jibu la kipuuzi kwa swali valid.

Hapo kwenye red pamenipa kali of the night!!!! Mambo haya yananikumbusha hotuba ya Mwalimu Nyerere wakati wa May Day 1995.
 
Back
Top Bottom