Tumeumbwa na haya,wachache wenye akili kama zangu na Dena,cha moto utakipata,nakupiga maswali unapitia dirisha la chooni kuondoka...lol
Tumeumbwa na haya,wachache wenye akili kama zangu na Dena,cha moto utakipata,nakupiga maswali unapitia dirisha la chooni kuondoka...lol
lol..hata wewe michelle wangu?
lol..hata wewe michelle wangu?
Una wengi wewe mara Rose, mara......mmmmm
Kitu kizuri kula na mwenzio Dena,hata wewe karibu tuwe pamoja na bacha!!
Una wengi wewe mara Rose, mara......mmmmm
Unyonge wangu uko kwako tu Bacha.......lol😛lane:
kazi kwelikweli!!!!!
Kitu kizuri kula na mwenzio Dena,hata wewe karibu tuwe pamoja na bacha!!
Asante mama,
ubarikiwe!!!!!
Endelea tu ??????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Basi bidada,
ngoja niende kule kwa Teamo, kwenye broken hurt Vs age
Mie kushare ngumu Michelle naogopa wivu wangu mbaya sana
Tutakuwa tunakuachia Bacha kwa siku nne za wiki,sisi tutagawana zilizobaki
Mi mwenyewe nilikuwa na sera hizo hizo za wivu,penzi nililopata wivu niliweka pembeni
Nimekubaliana na hali,mtoto wa watu kama nimezaliwa upya kwa kuridhika
Rose mwenyewe yuko na jino kwa jino,uhuru upo,sema nje huko utumie silaha za ulinzi....lol
Huyo hajiamini mimi nakutwanga maswali utajibu mwenyewe nikuogope wewe nani?? Baba yangu mzazi??
wewe michelle huwa huna wivu eeeh?