Kwanini mademu waoga kuhoji kulikoni?

Kwanini mademu waoga kuhoji kulikoni?

duh kibra tena!yani mi kitoweo?makubwa haya
 
Kitu kizuri kula na mwenzio Dena,hata wewe karibu tuwe pamoja na bacha!!

images
 
Ngoja nifikirie kwanza maana mie nikipenda naingia mzima mzima miguu, mikono hadi kichwa nazama kabisa sionekani

Thawa,most welcome,anytime!!
Bacha wetu yuko fit..................lol:smile-big:
 
Mbona mmesahau mada kuu? Kwann mademu hawahoji kupotezewa?
 
Huyu Hashy nae Dena,namfikiria katika zile siku utakazokuwa na Bacha niwe nampa nafasi yeye!!!

Ila taratibu Michelle,
mi sometimes wivu wangu mbaya,
yaani uwe unaenda kwa hashy mi nakutizama tu, .........du!!!!!!!
 
Ila taratibu Michelle,
mi sometimes wivu wangu mbaya,
yaani uwe unaenda kwa hashy mi nakutizama tu, .........du!!!!!!!

Sasa wewe naona unaanza kuchemsha wewe wako wangapi yeye mmoja tu wivu??
 
staki kuwa spair tairi mie......

Sawa Hashy nimekusikia,ningejua ningefanya siri huu mdomo umeniponza kwa mara nyingine......mshika mawili...........:crying:

Nashukuru bado Bacha ananipenda sijui ningekuwa mgeni wa nani,kukataliwa na Hashy na huku nako nikataliwe...........:smile-big:
 
Ila taratibu Michelle,
mi sometimes wivu wangu mbaya,
yaani uwe unaenda kwa hashy mi nakutizama tu, .........du!!!!!!!

Hashy amesema hawezi kuwa spare tyre,so mimi kule basi tena,tutabanana hapo hapo na Rose na Dena pia kama atakubali!!!
Ujue mi sipendi kutoka ila sometimes nakuwa lonely!!!
 
Atakuulizaje tena na anaona disko kashaingia mmasai.
 
jambo dogotu. Unaweza ukavutiwa na demu kwasana na kuamua kumtokea na kumpiga sound hadi polepole akawa anaelekea kibra. Ghafla unazipata za kiintelejesia ya kuwa kumbe ni mama huruma ambaye anagawa kwa kila rika, ukastuka na kumshiti kiaina. Utakuta anapenda tu anakutafuta lakini hata akikuona hakuulizi kuhusu yale masuala, kwanini wapate taabu hivyo?

we huyo atakuwa ametoka sitimbi me nakuhoji mpaka unakoma,
na utajutaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom