Kwanini Mademu wengi wakali ninao wafahamu hawaijui JF?

Mkuu hao hawajui Jf coz hku hakuna show off za at Serena hotel enjoying the weekend wala at at Jk Airport.
This is Jf bhna.
Tukianza kupost location na picha tutaogopana humu. Tuendelee kubaki anonymous tuu
 
Cha ajabu wengine wanatoa ushuhuda was kugegeda humu kila kukicha
 
Jf ingekuwa inasomwa mpaka na wale wajinga waliojazana kule fesibuku basi kungekuwa na madiliko wakubwa sana ya kifikra.

Kinachofanya watu wasiopenda jf ni kuwa mapichapicha hamna kwa sana. Ni mwendo wa kusoma. Na mjinga ukitaka kumyima ufahamu weka kwenye maandishi.
 
Mie nawazoom tuu wanaoijua lakini hawajui
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…