Kwanini Mademu wengi wakali ninao wafahamu hawaijui JF?



Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
bila shaka huu ndio ufananio wa muonekano wako....maana hiyo App ya bitstrip/bitmoji wengi hujitengeneza kulingana na muonekano wao.

[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
bila shaka huu ndio ufananio wa muonekano wako....maana hiyo App ya bitstrip/bitmoji wengi hujitengeneza kulingana na muonekano wao.

[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
kweli kabisa

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Jf sio popular kwakweli, sijui kwanini, hata ninapofanyia kazi nikizungumzia jf hawanielewi.

Ila mkuu mbona kama umetutupia dongo sie tulofanana na babu zetu!!


Ni popular kwa "Great Thinkers" na wenye "Fikra Pevu"!!
 
hahaha atajuta kuwafaham mashemeji! mashemeji wenyewe ni wadada wa mujini hatar tupuu! mnamsuta huku mmevaa miwani na lipstic za huda juuu huhu! lazima ajute kunioa

[emoji3] [emoji1] [emoji1]

Haha, acha tu Mbiti. Tunamsuta na sunglasses, lipstick kwa sana huku tumeshika glass za champagne..[emoji108]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi wao japo si wote 'kushughulisha akili si vitu vyao' wanapenda urahisi wa mambo na maisha kwa ujumla na 'bonus' kubwa ni muonekano wao

Na kwa hao ma 'celebrity' bado ndo tunatoka katika maisha ya kijamaa kwenda ktk ubepari wengi wao ni mambo ya 'fake life' bado kuishi uhalisia na hapa pia shida mpaka ktk jamii kwa ujumla wake
 
JF hamna nafasi ya kuuza sura humu watu wanapendana kwa content tu hii inawapa nafasi ya kujipa moyo mademu wenye sura zaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa....................
 
Ndo ujue huku kuna wenye Akili timamu,Wauza nyapu na mapunga ndo wako huko kwingine dat's y Ikaitwa the home of Great thinkers japo now nahisi kuna wajinga wajinga wanatuchafulia CV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…