Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Hahahaaa.. We kavu sana.Kwani aliyepigwa risasi alienda mwenyewe Nairobi?
Utapelekwa tu na wewe,subiri risasi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa.. We kavu sana.Kwani aliyepigwa risasi alienda mwenyewe Nairobi?
Utapelekwa tu na wewe,subiri risasi..
Hao wote wakali uliowaona umewajulia badooo.hususan wakipost picha zao za photo studioAisee kila demu ambae ninamuona ni mkali haijui JF kabisa. Yani ukimwuliza unaijua hii anasema ndio nini?
Wengi unawakuta Instagram na FB.
Nimejaribu kucheki mpaka celebrities wa kibongo wote siwaoni humu. Hata ishu ya Max kukamatwa sikuona wakipost kwenye Instagram, hii inamaanisha hawaijui.
Ila madem niliowaona wameinstall JF wengi ni wagumu, yani sura ya kazi.
Kwa utafiti huu unamaanisha hawa waliopo humu sijui wapoje!!!
Msinipige Risasi jamani, siweiz kwenda Nairobi
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh!Hahahaaa.. We kavu sana.
Usicheke sana utajambaKiukweli hata mi nmejiunga juz tu lakn nashangaa huku majina magumu af kila mtu anaitwa "mkuu"[emoji23][emoji23]
naenjoy tho... natamani ningejoin mapema
double tree ndo iko wapi mkuu, mimi niko huku Kiagata.Nenda double tree hotel,utamkuta mmoja
Hahaha...humu issue zinazoongelewa ni potential topics tu...girls wengi wanataka waende photoshops wapige pics za kupost instagram...you don't get the picture like instagram...JF ni nondo tuHata mi nashanga ninapo fanyia kazi tuko Kama wawili wenye app ya JF alafu huyu mwenzangu haja ji register mpaka najilizaga hili swali
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha,Aisee kila demu ambae ninamuona ni mkali haijui JF kabisa. Yani ukimwuliza unaijua hii anasema ndio nini?
Wengi unawakuta Instagram na FB.
Nimejaribu kucheki mpaka celebrities wa kibongo wote siwaoni humu. Hata ishu ya Max kukamatwa sikuona wakipost kwenye Instagram, hii inamaanisha hawaijui.
Ila madem niliowaona wameinstall JF wengi ni wagumu, yani sura ya kazi.
Kwa utafiti huu unamaanisha hawa waliopo humu sijui wapoje!!!
Msinipige Risasi jamani, siweiz kwenda Nairobi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohooo itabidi waanzishe photo shops.Hahaha...humu issue zinazoongelewa ni potential topics tu...girls wengi wanataka waende photoshops wapige pics za kupost instagram...you don't get the picture like instagram...JF ni nondo tu
[emoji108] [emoji108] [emoji108] tukimvamia huku atajutaVichwa ndio tupo huku, sura na shepu utazipata fb na instagram