Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Asiyejua usimwambie maana.yaan hakuna cha jiwe gizan humu kuna wanawake wazuriiiiiiiiiiiiiiiii hehehe mie nimewaona ! had unabaki kusema Mashallah!
[emoji12] [emoji12] [emoji14] [emoji23]Nasikiaga et humu kuna wanaume wenye id na avatar za kike wala hakuna mademu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshawahi kukutana na ww hapoMimi pia sijawahi kukutana na Mtu aliyopo jf. Sasa najiuliza vipi wenzangu ninyi mnaishi wapi?
Ni wakali lakini comment zao ndio zinaidentify uko vichwani mwao kuna nn ndipo unapogundua je wapo vizuri au ni walewaleNi kweli Kwa kiasi kikubwa.
Ila hapa Sinza Mademu ninaokaa nao mtaa mmoja karibia sita wapo humu na ni wakali vibaya mno.
Mmoja mwandishi wa habari Wa Mawingu FM,
Mwingine yupo Airport
Mwingine TRA.
Wawili wauguzi hospital kubwa hapa jijini.
Wawili wanasoma Chuo.
Wote ni wali na wanatumia ID za kike. Wanapenda Sana jukwaa la MMU.
Hivyo humu ndani kuna mademu ukiwaona huwezi amini kama ndio wao. Kwani ni wakali mno sema wanachokomentigi ndio kinaniachaga mdomo wazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jf ni site ya watu wenye AKILI na wanaojitambua,so sio kila dame mkali awe na akiliAisee kila demu ambae ninamuona ni mkali haijui JF kabisa. Yani ukimwuliza unaijua hii anasema ndio nini?
Wengi unawakuta Instagram na FB.
Nimejaribu kucheki mpaka celebrities wa kibongo wote siwaoni humu. Hata ishu ya Max kukamatwa sikuona wakipost kwenye Instagram, hii inamaanisha hawaijui.
Ila madem niliowaona wameinstall JF wengi ni wagumu, yani sura ya kazi.
Kwa utafiti huu unamaanisha hawa waliopo humu sijui wapoje!!!
Msinipige Risasi jamani, siweiz kwenda Nairobi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda double tree hotel,utamkuta mmojahata mimi mkuu sijawahi kumuona/kukutana na mwanaJf sijui waliomo humu wanaishi wapi!!!
Inawezekana hao madem ni wa sura na shape sio akili. Humu kunaitwa home great thinkers. Usifananishe JF na vitu vya kijinga.Aisee kila demu ambae ninamuona ni mkali haijui JF kabisa. Yani ukimwuliza unaijua hii anasema ndio nini?
Wengi unawakuta Instagram na FB.
Nimejaribu kucheki mpaka celebrities wa kibongo wote siwaoni humu. Hata ishu ya Max kukamatwa sikuona wakipost kwenye Instagram, hii inamaanisha hawaijui.
Ila madem niliowaona wameinstall JF wengi ni wagumu, yani sura ya kazi.
Kwa utafiti huu unamaanisha hawa waliopo humu sijui wapoje!!!
Msinipige Risasi jamani, siweiz kwenda Nairobi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijawahi zipata hizo papachu.Ujue jamii JF ukiisikia kama unapata habari za kisiasa tu kuna Watu awapendi siasa kumbe humu kuna kugegeda humu kuna papachu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
umeshampa papuche yule anaekupa msaada?