Kwanini Mademu wengi wakali ninao wafahamu hawaijui JF?

wanajua hamkawii kuuliza ID zao, so wanaona bora kusema hawaijui jf.
 
This is the home of great thinkers so those narrow minded ladies you can't find them here.
 
Hao wote wakali uliowaona umewajulia badooo.hususan wakipost picha zao za photo studio
Sasa huku waje kufanya nini??!
Hata wao wanawajua wana JF ni wagumu kinoma hawachuniki kifala kama waliowazoea mafala wa Badoo
 
Yan JF raha sana bac nkiwa kwny gar naichomoa kasimu kangu Hata swash data afu naingia JF ili wajue km mm great thinker
 
Hata mi nashanga ninapo fanyia kazi tuko Kama wawili wenye app ya JF alafu huyu mwenzangu haja ji register mpaka najilizaga hili swali

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha...humu issue zinazoongelewa ni potential topics tu...girls wengi wanataka waende photoshops wapige pics za kupost instagram...you don't get the picture like instagram...JF ni nondo tu
 
Hahahaha,
JF ina mambo,
ILA KAMA KWELI VILE........................
 
Sababu hakuna picha za KUJIACHIA..na tulio wengi tumeweka picha profile MAUZAUZA TU..unadhani atavutiwa na nn?wao wanataka kapiga picha Paja nje....mara kapost anaoga,,akichungulia photos anaona mabishoo kibao wamejiachia....sasa humu atapenda AVATOR YA BILLY DUKE?
 
Embu acha kutuweka roho juu juu, wengine waume zetu wako huko wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…