Kwanini madereva wengi hupona ajalini?

Kwanini madereva wengi hupona ajalini?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Nawazaga hili swali najikuta NACHEKA.

M ni mpenzi wa habari za Kenya sana.

Kenya IMEKUTWA na matukio ya ajali nyingi sana na huuwa watu 10+

Hivi MAJUZI KUNA ajali tatu zimetokea zote ukiangalia gari zimeharobika KABISA.

Unachoanbiwa MADEREVA wote wamekimbia.

Mbili zimwgongana na.malori kwisha KABISA.

SRC SPEED KUBWA SASA HAWA WATU WANAKAJE KWENYE SPEED NA KUISHIA KUKIMBIA.

UKIJA DAR SAME MABASI YANAKWISHA KABISA MBELE UNAAMBIWA DEREVA KAKIMBIA.

Hawa jamaa watakuwa n wanga haiwezekani kila mmoja afanikiwe kukimbia.
 
Peleka kushito
Ujanielewaa yes wanapelekaga kushoto kwa abiria ila ukionyeshwa gari Hadi kwa DREVA pameepigika amekimbia happndipo najiulizaga
 
Watu wengi wanakufa kwenye qjali kwa sababu ya hofu, uoga, pressure, mtikisiko vyitu ambavyo dereva anakuwa alishajiandaa navyo kuvipokea mkuu! Wewe kutokana mwili wako au ubongo wako haujajiandaa kutoa homon za kuzuia jambo ndo linatokea ghafula wengi wanakufa kwa mtindo huo, nikama mtu apige Risasi AK47 mbele yako bila wewe kujiandaa mlio wake tu unaweza kuzimia, au baruti, wale walioenda kwenye vita wanaelewa, kwa hiyo kila kitu ni maandalizi
 
Back
Top Bottom