Sahihi kabisaMagari gani madogo hayo unayosemea mkuu?
Maana vitz wana engine yenye diesel 1.4 L 1ND-TV...
Uko sahihi , kwa kuongeza tu , turbocharger sio kwa ajili ya kuleta nguvu , ipo pale blue kwa ajili ya compactbility ya engines , bila turbo diesel powered engine zingekuwa kubwa kupitiliza ,Magari madogo ya Diesel yapo siku hizi.. Leyland wemetoa virikuu vinatumia Diesel.. Kupata engine ndogo ya Diesel, lazima gari iwe na turbo.. Lasivyo gari itakuwa na nguvu kidogo sana.
Anza wewe kwanza kwa kuwashia maji motoKwa nini magari yasitumie maji kabisa?...
Japo swali lako halijakaa kitaalam na unatakaujibiwe kitaalam wacha nikujibu ivo ivo ili twende sawa Mafuta ya Diesel yanakupa zaidi torque> Horse Power na Mafuta ya Petrol ni Vice-versa. OverKwa watalaam wa magari. Inakuaje magari madogo yasitumie dizeli?
Huwa najiuliza hiki kitu sipati jibu.
Naomba majibu ya kitaalam.
👍👍Magari gani madogo hayo unayosemea mkuu?
Maana vitz wana engine yenye diesel 1.4 L 1ND-TV
Toyota allex wanayo 2L 1CD-FTV D-4D
Toyota Avensis wanayo 2L 1CD-FTV
Toyota Caldina wanayo 2L 2C-T
Inshort za diesel ziko nyingi sana tu.
Tena European make ndio wanatengeneza hizo gari ndogo za diesel za kutosha