t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Gari ndogo za diesel zipo , Kuna mdau hapo juu kaelezea vizuri diesel engines za magari madogo
Ishu ya kwa Nini huzioni gari ndogo za diesel huku kwetu ni gharama zake za kununua na kuziendesha gari hizo, by default diesel engines ni kwa ajili ya shughuli heavy duty.
Soko la ulaya lilisha adopt diesel engines za magari madogo Ila mengi ni manual transmission na hata yakiwa used bado yanakuwa ni ghali kuliko petrol na Mara nyingi yanakuwa yametembea kilometre nyingi