Jibu ni kwamba inakuwa mzito mbele wakati haina mzigo tu, ikipakiwa mzigo uzito wote unakuwa nyuma.
Pili Matairi 4 mbele Usukani utakuwa mzito kiasi ambacho haitakuwa rahisi gari kudhibiti wakati wa mwendo wa kasi.
Hayo ndio yangu
Physics
Wakuu hivi kwa nini magari yana matairi mawili 2, mbele kuliko kuzito sana sana kutokana na kubeba engine ya gari .
Lakini cha ajabu gari hiyo hiyo gari ina matairi manne 4 kwa nyuma ambako ni kwepesi sana kwani hakuna uzito mkubwa kama sehemu ya mbele kwenye engine.
Why?
mleta maada ungejaribu kufafanua kidogo gari dogo zote zina tyre nne mbili nyuma na mbili mbele. Anyway najua ulimaanisha zile za mizigo ambazo load kubwa ipo nyuma wakati ikiwa na mzigo.
mkuu hivi uzito wa mzigo na ule wa engine upi ni mkubwa? pili gari ndogo zina tairi 4 tu yaani 2 nyuma na mbele
kwani wewe unaelewa uzito wa engine ni tani /Kg ngapi? Tuanzie hapo kwanza ili tujue tukusaidie kutokea wapi.
mkuu uzito wa engine hauwezi kulinganisha viroba vya mkaa au maembe kama ufikiriavyo hapo
nimekuuliza wewe unajua uzito wa engine ni kg ngapi?
wewe kaa elewa hivyo tu kuwa engine ni nzito sana sawa
Basi Sawa