Kwanini magari yana matairi 2 mbele kuzito, na matairi 4 nyuma kwepesi?

Kwanini magari yana matairi 2 mbele kuzito, na matairi 4 nyuma kwepesi?

Wakuu hivi kwa nini magari yana matairi mawili 2, mbele kuliko kuzito sana sana kutokana na kubeba engine ya gari .

Lakini cha ajabu gari hiyo hiyo gari ina matairi manne 4 kwa nyuma ambako ni kwepesi sana kwani hakuna uzito mkubwa kama sehemu ya mbele kwenye engine.

Why?

Elimu elimu elimu.
 
Unapozungumzia matairi 4 sina shaka unamanisha magari ya kubebe mizigo ni hivi: Yakiwa matairi mawili kila tairi inabeba nusu ya mzigo,matairi yakiwa manne kila tairi inabeba robo ya mzigo hivyo gari inakuwa nyepesi kuendesha ikiwa na matairi manne au zaidi nyuma - masuala ya physics.
 
Nilipoona title ya post tu nikajua mlete mada ni K 4 LIFE
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom