ba4
Member
- May 20, 2021
- 55
- 48
Naona utaratibu wa magereza mengi hapa duniani wanavaa nguo za rangi ya orange, wenye maarifa mnaweza kunielewesha?
View attachment 1999167
View attachment 1999167
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona utaratibu wa magereza mengi hapa duniani wanavaa nguo za orange,wenye maarifa mnaweza kunielewesha?
ni rangi inayong'aa kama reflector huwezi kujificha hivyo mfungwa hawezi kukimbia au kujificha kwakua ni rahisi kuonekana
Kuna magereza yana vaaa Rangi kam pundamilia, Sio orange pekeeeNaona utaratibu wa magereza mengi hapa duniani wanavaa nguo za orange,wenye maarifa mnaweza kunielewesha?
Ndio kabisa, rangi nyeupe ikiwa mbali haionekani vizuri compared na orangeunataka kusema orange inaonekana zaidi kuliko nyeupe[emoji848]
Tanzania
Inategemea na magereza mengine sio risk kwa mfungwa kutoroka.Usisahau kuna mengine ya bluu,hasa nchi za mbali mbali huko duniani
ndio kabisa, rangi nyeupe ikiwa mbali haionekani vizuri compared na orange
Shuleni ulihoji kuvaa uniform?Naona utaratibu wa magereza mengi hapa duniani wanavaa nguo za rangi ya orange, wenye maarifa mnaweza kunielewesha?
View attachment 1999167
Kuna nchi nyingi hawatumii rangi ya orange.Naona utaratibu wa magereza mengi hapa duniani wanavaa nguo za rangi ya orange, wenye maarifa mnaweza kunielewesha?
View attachment 1999167
KenyaKuna magereza yana vaaa Rangi kam pundamilia, Sio orange pekeee