Kwanini magereza yote wafungwa huvaa rangi ya orange?

Kwanini magereza yote wafungwa huvaa rangi ya orange?

Historia ipo hivi mwaka 1821

Uko nchi uingereza mtu wa kwanza kwenda jela alikuwa ni mbakaji Mahakama ilimpata hofa akiwa kama mfungwa wa kwanza wa kifungo cha maisha ulipenda mahakama ikufanyie nini kama sehemu kutia kifungo hiko ? Jamaa akasema kuna nguo ipo nyumbani sijawahi kuivaa tangu ninunue naomba niletewe hiyo tu nitakuwa mwenye furaha mahakama ilitekeleza ombi ilo nguo hiyo ilikuwa kama JOO LA KIFALME LIKIWA NA RANGI YA ORANGE
Siamini maana ukiangalia nchi za "madola" nyingi zamani walianza na nyeupe yenye kama michirizi michache myeusi hivi kisha baadae wakaja na hii karoti

Ukienda huko kwa wenzetu kuna blue dark blue kijani hadi ile ya kama choroko sijui rangi gani maana rangi kuzitaja majina yake ni mtiti

Halafu swalala rangi siyo magerezani tu angalia hata mahospitalini wana rangi zao, mashuleni kadhalika taasisi za kifedha. Nadhani kuna mdau aliwahi kichambua maswala ya rangi hizi katika taasisi mbalimbali ila uzi ndo sikumbuki unaitwaje
 
  • Thanks
Reactions: ba4
Historia ipo hivi mwaka 1821

Uko nchi uingereza mtu wa kwanza kwenda jela alikuwa ni mbakaji Mahakama ilimpata hofa akiwa kama mfungwa wa kwanza wa kifungo cha maisha ulipenda mahakama ikufanyie nini kama sehemu kutia kifungo hiko ? Jamaa akasema kuna nguo ipo nyumbani sijawahi kuivaa tangu ninunue naomba niletewe hiyo tu nitakuwa mwenye furaha mahakama ilitekeleza ombi ilo nguo hiyo ilikuwa kama JOO LA KIFALME LIKIWA NA RANGI YA ORANGE
Hii...!mbona kufungwa watu walianza toka enzi na enzi mzee
 
  • Thanks
Reactions: ba4
Kapicha Tafadhali Mkuu
1636113391408.png
 
Nashukuru kwa alieleta swali, pamoja na wachangiaji, nimejifunza kitu.

Elimu haina mwisho.
 
Orange ni rangi inayoonekana katika mazingira tofauti na kwa umbali.
Refer maboya kwenye usafiri wa majini na windsock kwenye viwanja vya ndege
 
Ni kama lifting and heavy equipment au School Bus,hua na Orange colour coz ni rangi inayo onekana zaidi,

Hata Black box ya Ndege ni Orange coz ni rangi ambayo ni visible zaidi,hata Life jacket hua ni Rangi ya Orange pia.
Ila life jacket katka movie ya Titanic ni nyeupe au waliigizia tuu
 
Back
Top Bottom