Kwanini magereza yote wafungwa huvaa rangi ya orange?

Siamini maana ukiangalia nchi za "madola" nyingi zamani walianza na nyeupe yenye kama michirizi michache myeusi hivi kisha baadae wakaja na hii karoti

Ukienda huko kwa wenzetu kuna blue dark blue kijani hadi ile ya kama choroko sijui rangi gani maana rangi kuzitaja majina yake ni mtiti

Halafu swalala rangi siyo magerezani tu angalia hata mahospitalini wana rangi zao, mashuleni kadhalika taasisi za kifedha. Nadhani kuna mdau aliwahi kichambua maswala ya rangi hizi katika taasisi mbalimbali ila uzi ndo sikumbuki unaitwaje
 
Reactions: ba4
Hii...!mbona kufungwa watu walianza toka enzi na enzi mzee
 
Reactions: ba4
acha uongo [emoji16][emoji3][emoji856] mbona naona wafungwa wengi wa hapa tz wanavaa nguo za kijani na kaki?? Au m ndo sion vizur??
Hahahaha we Una lako mkuu
 
Nashukuru kwa alieleta swali, pamoja na wachangiaji, nimejifunza kitu.

Elimu haina mwisho.
 
Orange ni rangi inayoonekana katika mazingira tofauti na kwa umbali.
Refer maboya kwenye usafiri wa majini na windsock kwenye viwanja vya ndege
 
Ni kama lifting and heavy equipment au School Bus,hua na Orange colour coz ni rangi inayo onekana zaidi,

Hata Black box ya Ndege ni Orange coz ni rangi ambayo ni visible zaidi,hata Life jacket hua ni Rangi ya Orange pia.
Ila life jacket katka movie ya Titanic ni nyeupe au waliigizia tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…