Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Mara nyingi huwa hivyo kuwa makipa wengi wa Taifa Stars hutokea timu ya Simba ya Dar es salaam.
Kitaalam hiyo hutokana na nini?
Kitaalam hiyo hutokana na nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamanda kuna wakati unauliza maswali as if uko na bapa mezani.Mara nyingi huwa hivyo kuwa makipa wengi wa Taifa Stars hutokea timu ya Simba ya Dar es salaam.
Kitaalam hiyo hutokana na nini?
Kwa sababu....Mara nyingi huwa hivyo kuwa makipa wengi wa Taifa Stars hutokea timu ya Simba ya Dar es salaam.
Kitaalam hiyo hutokana na nini?
Tangu enzi za Athuman Mambosasa, Mohamed Mwameja, Idd Pazi, Juma Kaseja, Aishi Manula kote huko Simba ndiyo inaongoza kutoa makipa wa Taifa stars kuliko timu yoyote ya Tanzania. KULIKONI?Ndiyomaana timu inafungwa fungwa tu.
Mbona humtaji Juma Pondamali! Na yeye pia alitokea simba. Kuna Steven Nemes!! Beno Kakolanya naye kabla ya kurubuniwa kuhamia simba, alikuwa Yanga! Na alikuwa ni moto kweli kweli.Tangu enzi za Athuman Mambosasa, Mohamed Mwameja, Idd Pazi, Juma Kaseja, Aishi Manula kote huko Simba ndiyo inaongoza kutoa makipa wa Taifa stars kuliko timu yoyote ya Tanzania. KULIKONI?
Hao utopolo ni wachache kati ya bahari kubwa yenye kina kirefu ya makipa Bora toka unyamani.Mbona humtaji Juma Pondamali! Na yeye pia alitokea simba. Kuna Steven Nemes!! Beno Kakolanya naye kabla ya kurubuniwa kuhamia simba, alikuwa Yanga! Na alikuwa ni moto kweli kweli.