Kwanini Magufuli aliwakumbatia Machinga?

Huu ndio ukweli kabisa 100%

Yeah Mkuu ndio maana alikuwa anawapiga za chembe matajiri ili uchumi udorore masikini waongezeke wakimbilie kwenye umachinga kisha aendelee kuwabeba fanya biashara sehemu yeyote hata katikati ya barabara poa tu ,lengo aongeze mtaji wake.
 
Mtasema sana lakini JPM alianza kujenga taifa la Raia wanaojiamini. Wasio wa kulia lia na ku-dream misaada tu!
 
Kiongozi yoyote mwoga hukumbatia kundi la wajinga ili wamlinde

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Napenda wasomi waliosoma na kuelewa na sio walokaririshwa mitazamo ya wengine humu wengine naona NI wasomi waliokariri hawakuelewa
 
πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ˜… πŸ’₯ 🎯
 
Ulichoandika ni ujinga kwa hiyo ulitaka awapige rungu eti kama siku zote uzuri hakufanya hicho

Acha uzuzu huyo jamaa alikuwa kiongozi
 
Waende kwenye hayo maeneo waliyoandaliwa. Huwez kujenga kibanda Juu ya mtaro ama kufunga Barabara ya waenda kwa miguu kwa kisingizio Cha ajira
 
Machinga ni mtego mbaya wa kisiasa.

Rais atapata tabu kuendesha serikali yake.

Hawa watu ni wengi sana kuliko wenye ajira na biashara rasmi na wana wategemezi.

Kuna hitajika busara kukaa nao.
Wingi wao utawanyima CCM kubaki madarakani?
 
Napenda wasomi waliosoma na kuelewa na sio walokaririshwa mitazamo ya wengine humu wengine naona NI wasomi waliokariri hawakuelewa
Tueleweshe basi wewe Tafadhalii uliyeelewa na si kukalili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…