econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Nina swali kwa wadau wa JF.
Ukisoma Ibara ya 125 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuna mahakama Maalum ya Kikatiba ilianzishwa, ila mahakama hiyo haijawahi kufanya kazi au kusikiliza shauri lolote.
Je, ni sababu gani inazuia mahakama hiyo Maalum ya Katiba kutowahi kusikiliza shauri au kuamua shauri lolote tangu kuanzishwa kwake?
Naomba kuwasilisha swali.