Kwa kweli ni kina kirefu kama jina lako 🙂Chombo batili kimeunda chombo batili
chombo hicho batili kinaweza simamia mambo ya batili mweza
Ni kwasababu, kwa maoni yangu, ikikaa hii mahakama itatoa haki na uongozi wa Tanzania haupendi kuona haki inatendeka.Nina swali kwa wadau wa JF.
Ukisoma Ibara ya 125 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuna mahakama Maalum ya Kikatiba ilianzishwa, ila mahakama hiyo haijawahi kufanya kazi au kusikiliza shauri lolote.
Je, ni sababu gani inazuia mahakama hiyo Maalum ya Katiba kutowahi kusikiliza shauri au kuamua shauri lolote tangu kuanzishwa kwake?
Naomba kuwasilisha swali.
WAjumbe wa Mahakama Maalumu ya Katiba wanateuliwa na Serikali.Ni kwasababu, kwa maoni yangu, ikikaa hii mahakama itatoa haki na uongozi wa Tanzania haupendi kuona haki inatendeka.
Hili ni swali la msingi sana, sio tuu Mahakama ya katiba haijawahi kusikiliza shauri lolote, Mahakama hiyo haijawahi kuundwa, yaani constituted kwasababu hakujawahi kutokea shauri lolote lililohutaji Mahakama hiyo, ila tuombe Mungu, kabla ya uchaguzi mkuu ujao, kuna wakili fulani atafungua shauri la kikatiba litakalo uinda Mahakama hiyo!.Nina swali kwa wadau wa JF.
Ukisoma Ibara ya 125 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuna mahakama Maalum ya Kikatiba ilianzishwa, ila mahakama hiyo haijawahi kufanya kazi au kusikiliza shauri lolote.
Je, ni sababu gani inazuia mahakama hiyo Maalum ya Katiba kutowahi kusikiliza shauri au kuamua shauri lolote tangu kuanzishwa kwake?
Naomba kuwasilisha swali.
Hili ni swali la msingi sana, sio tuu Mahakama ya katiba haijawahi kusikiliza shauri lolote, Mahakama hiyo haijawahi kuundwa, yaani constituted kwasababu hakujawahi kutokea shauri lolote lililohutaji Mahakama hiyo, ila tuombe Mungu, kabla ya uchaguzi mkuu ujao, kuna wakili fulani atafungua shauri la kikatiba litakalo uinda Mahakama hiyo!.
P
Tumuite Mwanasheria Pascal Mayalla atoe ufafanuzi
Nalielewa hiloWAjumbe wa Mahakama Maalumu ya Katiba wanateuliwa na Serikali.