Wanawake wengi ni wajumbe,wanakula huko huko na nguo wanapewa pia hawahangaiki na familia zaoWahindi na Wachina bado wako katika mstari wa mila kuhusu maisha ya ndoa. Mke anafanya kazi na mshahara wote wanaupangia matumizi na mume wake. Kuna budget ya kununua nguo mara mbili au tatu kwa mwaka.
Ndoa nyingi zinafeli, hela ya mke ni ya kununulia handbag na vipodozi wakati mume wake anashindwa hata kulipa ada ya watoto.
Shida sio kusoma wala shida sio madaraka ila shida ni utii wa mamlaka!Kwaiyo mkuu kwa maelezo yako...wanawake ndo sababu ya ndoa kuvinjika.
Kusoma kwao na kuwa na kipato na kushika madaraka ndio inachochea ndo kutodumu?
Watu wengi wame opt kufanya hivi japo sio jambo jema ila kuna haja ya ku address hili tatizo.Tunapoelekea nikuwazalisha na kuwaacha then tunashirikiana malezi tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko ni kutesa watoto.Tunapoelekea nikuwazalisha na kuwaacha then tunashirikiana malezi tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie naishi ki old school...mfumo wa mwanamume ni mamlaka. Siwezi kuruhusu mke ajiamulie anachotak wakati yupo katika himaya yangu.Yako iko kundi gani??
Ukweli daima haupendeki!!Shida sio kusoma wala shida sio madaraka ila shida ni utii wa mamlaka!
Mfumo wa zamani ulienforce mwanamke kuwa submissive na kutii mamlaka ya mume. Hii ilisaidia kujenga nidhamu ya mama na watoto katika kujenga familia bora na hata kupunguza migogoro. Pia ilipelekea hali ya uvumilivu na utulivu maana mwanamke aliishi katika misingi ambayo mume kaijenga.
Shida iliopo sasa ni ile hali ya mwanamke kujiamulia anachojisikia awe ameolewa au la. Hataki kufuata maagizo ya mume bali anataka washindane...ataskia ambayo yana favor kwake yasio na favour anakomaza shingo. Mzee wangu kuna kauli anaitumiaga "Amiri jeshi ni mmoja tu"
Ni kweli ila sasa watu wamechoka, taasisi ya ndoa inapoteza maana kila kukicha maana wanawake ambao ndio akina mama wanakataa kuishi katika misingi ya asili. Wamekuwa miiba kwa kukumbatia idea ya kushindana na mamlaka ambayo ni mume badala ya kuwa watiifu na washauri wazuri.Huko ni kutesa watoto.
We unadhani hilo ndio suluhu mkuu?Tombeni wake zenu kisawasawa.
Muoe rafiki yako wa kike mliyeshibana. Kama huna, na hujakuwa na utamaduni wa kuwa na urafiki na wanawake, basi jaribu vijijini.Kosa lilifanyika ile nyakati ambapo mtoto wa kike aliachwa ajiamulie kuishi anavyojisikia. Mkutano wa Beijing ndio ulileta yote haya. Kimsingi mungu amemuumba mwanamke na roho ya uvumilivu wa hali ya juu na utiifu dhidi ya mamlaka.
Mamlaka kuu ya mtoto wa kike ni mwanaume, anzia chief, babu, baba mpaka mume! Hii ni hierachy ya mamlaka iliokuwepo tangu enzi na ililenga kutengeneza jamii yenye nidhamu na sio oppression kama ambavyo ilitafsiriwa.
Ofcourse hamna mfumo usio na faults ila huu mfumo ulionesha ku work efficently kwa asilimia kubwa sana kwa ku enforce wanawake kuwa submissive. Malalamiko yalikuwepo kwa wanaume waliokuwa wanazingua ila kulikuwa na namna ya kuya address.
Sasa baada ya kuja mambo ya gender balance ndio ikapelekea zile mila kutafsiriwa kama mfumo dume. Kwamba mke anatakiwa apewe nafasi ya kujiamulia atakalo na kuwa self reliable badala ya kuwa submissive kwa mwanaume. Hii ikiwa ni sehemu ya ku exercise haki zake za kijinsia kama ilivyo kwa mume.
Ndipo mwanamke akapewa mamlaka ya kushika madaraka na uchumi...The worst mistake to ever be done in this world. Mwanamke anachokifanya since then ni kushindana na mwanaume ikiwezekana kumu oppress kabisa akipata nafasi hio saa nyingine hata kwa kutumia sheria zile zile kwamba anaonewa ilihali yeye ndie anamkomoa mume.
Hii sumu imesambaa kwa vizazi kadhaa toka ilipoidhinishwa ila mpaka kufikia leo hii matokeo tunayaona. Ndoa zimekuwa hazidumu sababu mwanamke haoni sababu ya kuwa mvumilivu kusuluhisha migogoro ilio sehemu ya maisha katika ndoa. Sababu yuko free kujiamulia lolote atakalo ni ngumu kutii mamlaka ya mume endapo haoni ndoa ina favour matakwa yake. Especially kuishi maisha kama yuko single, achepuke anavyotaka afanye anayojiskia hata kama yanakarahisha na kukuondolea amani mumewe.
Kubwa kabisa, mwanamke kumiliki madaraka na uchumi. Hapo ndio balaa kabisa. Wote tunaenda kazini sasa kwanini anibabaishe. Hii ndio akili walionayo watoto wa kike 70% ambao baadhi wameolewa na wengine wanatarajia kuolewa. Ukimwambia basi acha kazi uhudumie familia pia ni ugomvi mkubwa 🤣🤣🤣 unaambiwa kwani baba yangu alinisomesha ili iweje? Ndoa haiwezi kudumu pasipo na nidhamu na nidhamu ili iwepo lazma kuwe na mamlaka iliosimama ambayo ni mwanamume...Guess what?
Tafsiri ya mamlaka imegeuzwa tena na utandawazi kuwa sio mwanaume per se ila ni mwanaume mwenye hela! Kwa hali iliopo sasa mwanaume mwenye uwezo wa ku satisfy fantasies za mwanamke zaidi ndie mtu pekee ambaye wanamtafsiri kama anayestahili heshima. Wonders will never cease!!!
Ndio maana kila baada ya kisa cha mahusiano kinachokuja jf moja ya suluhu utaskia "Tafuta hela mkuu!"
Ni kweli ila sasa watu wamechoka, taasisi ya ndoa inapoteza maana kila kukicha maana wanawake ambao ndio akina mama wanakataa kuishi katika misingi ya asili. Wamekuwa miiba kwa kukumbatia idea ya kushindana na mamlaka ambayo ni mume badala ya kuwa watiifu na washauri wazuri.
Ni kweli ila kwani tunazungumzia kucheat au gender balance ilivyokuja kuwapa viburi wanawake?Ni lini ambapo changamoto za ndoa hazikuwepo?
Changamoto zilikuwepo tangu enzi na enzi sema siku hizi watu hawana uvumilivu. Yani hata mambo ya kucheat yalikuwepo sana tu ila watu walivumiliana na kufichiana siri.
Siku hizi mtu akipata msukosuko kidogo tu anatishia amani.
Wanawake ndo wanashindwa kutofautishaWengi wanaoingia kwenye ndoa huwa hawapo serious, wanaingia kwa kujaribisha na zaidi ya yote wengi wao wanakuwa wanataka tu na yeye atengeneze ile video ya kuonekana kwenye kipindi cha CHEREKO ili kujibu mapigo ya rafki zake! Lakn wakianza maisha vurugu tupu, raha ya ndoa hakuna kabisa!
Ila lazima ujue nyumba ili isimame imara kuna mchango mkubwa sana wa mama. Mwanamke lazima ajitoe kuhakikisha familia yake inasimama na hii ni toka enzi.Ni lini ambapo changamoto za ndoa hazikuwepo?
Changamoto zilikuwepo tangu enzi na enzi sema siku hizi watu hawana uvumilivu. Yani hata mambo ya kucheat yalikuwepo sana tu ila watu walivumiliana na kufichiana siri.
Siku hizi mtu akipata msukosuko kidogo tu anatishia amani.