Kwanini mahusiano/ndoa nyingi hazidumu?

Ni kweli ila katika kutafuta suluhu ya tatizo siku zote huwa tunaanza na culprit! Kiini cha mume kuanza kuchepuka ni kipi? Huenda mmeishi vyema miaka miwili ila ghafla unaona mume ameanza kuchepuka.

Cha kwanza ni kuanza udadisi! Kwa upande wangu naweza kukupa experience yangu kwamba kitu cha kwanza ni mabadiliko ya mwanamke na kuanza kupuuza utekelezaji wa yale ambayo yalikuwa yanamfurahisha mme. Hii huanza taratibu ila huwa tunaonekana wabaya ni sie ambao tumetoka nje...wanasema anayeanza haonekanagi ila anayemaliza.

Nilishawahi kuhoji nikapewa jibu hilo...heheh! "kwahio unataka mapenzi yetu yawe kama tulivyoanza mwaka ....... hebu acha mambo ya kitoto"

Katika mazingira hayo nikichepuka ntakuwa na kosa? Kauli laini hakuna tena, unajibiwa ilimradi tu! Lazma utafute faraja nje tu.
 
Mkuuu Ndoa ni agano la Watu wawil...Basi wote wajitume kuhakikisha inafanya kazi
 
Mkuuu Ndoa ni agano la Watu wawil...Basi wote wajitume kuhakikisha inafanya kazi
Watu wawili ndio ila mwanamume kakuweka ndani anakulisha, anakuvisha, anakujali! Ila wewe unakuwa mtu wa drama za kijinga hio ndoa ita work kweli?

Ndio maana nikasema migogoro inayoweza kuathiri ustawi wa familia ni migogoro anayoanzisha mwanamke endapo atakuwa mtu wa kutaka usawa na kulazimisha kuishi kama hamna mamlaka. Bila mwanamke strong hamna familia bora.

Utataka kubishana maana ndio calibre yako ila ukweli unauelewa tokana na mifano tu ambayo nimekupa.
 
100%.

Mtombe Kila mara na umkojoze, hatofikiria kukusaliti, sembuse afikirie kuvunja ndoa???.


Hilo ndo suluhisho .
Kuna watu wanatumia mpaka viagra, if you don't do stuffs that make your woman attracted atakuletea wenge tu.
 
Kuna watu wanatumia mpaka viagra, if you don't do stuffs that make your woman attracted atakuletea wenge tu.
Moja ya iyo stuff nikumtomba kisawasawa .

Nakuhakikishia jambo moja. Hamna jambo wanalohusudu wanawake kama kitombo kinachomkojozaa kisawasawa.


Waviagra huenda mbali kuwaumizaaa
 
Moja ya iyo stuff nikumtomba kisawasawa .

Nakuhakikishia jambo moja. Hamna jambo wanalohusudu wanawake kama kitombo kinachomkojozaa kisawasawa.


Waviagra huenda mbali kuwaumizaaa
Ila attraction lazima iwe juu ili aweze kuinjoy hio sex heavy! Bila hivyo utakuwa unajichosha tu mkuu!
 
Sababu ziko nyingi sana ila sababu kubwa ni wanandoa hawajui kwanini wameoana.

Kama unabisha wewe waulize vijana kwanini umeoa au kwanini umeolewa. Majibu yao ni vichekesho.

Kibwagizo
Niko njiani kuongeza chuma cha tatu (Mke wa tatu)
 


Nice And Good Comments from Well Matured Married Women, Nimejifunza kitu
 
Umeandika ya kweli kabisa.

Embu chukulia kama jukumu la kutoa talaka lingekuwa kwao Wanawake, sijui kama kungekuwa na ndoa iliyo salia. Labda zingebaki zile ndoa za "Marioo" na "Wapenda Slope" yaani wale wa "Mtelezo".

Mwanamke ameumbwa kuwa chini yetu na kututumikia sisi wanaume, ila siyo mtumwa.

Wanacho kutana nacho hawa wanawake wa kileo nafsi zao zinashuhudia na cha moto wana kiona.

Hakuna nazi iliyo shindana na jiwe.
 
Uko sahihi sana mkuu,kwa sasa hao wa mama ni one in a million.Imenikumbusha enzi zile tuko wadogo,madingi walikuwa jioni wanapitiana wanaenda Bar kupiga kinywaji wanarudi saa 4 usiku,wake zao wametulia husikii kelele wala nini,fikiria dunia hii ya sasa ya kina Beijing nani atakaa kimya,kwanza ukijua umepiga mtungi ukikaribia nyumbani roho inaanza kukudunda,unaanza kujiandaa kujibu matusi na kashfa utazo kutana nazo hapo ndani.....
 
Ndio shida ni kupotezea ule mfumo sahihi wa mamlaka. Sahivi ndoa ni kama utawala wa kambale mdogo ndevu na mkubwa ndevu.
Mwanamke hakuumbwa kupewa uhuru wa kujitawala kwa sababu hawayawezagi madaraka. Wanaishiaga kuharibu tu.
 
Kwanza geti hufunguliwi, kisha ukiingia ndani ni gubu balaa. Mpaka ulale ushachambwa na chakula ukajipakulie mwenyewe. Ila yeye starehe zake humsumbui kwenda kuweka kucha na saluni au shopping amna masimango.
 
Sasa asiwe na watoto kwani Hana mbegu.. na yeye anahutaji uzao pia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…