Tukishajua maana ya ndoa hakika tutajitahidi kujenga foundations imara ili ndoa zetu zisiyumbe."FOUNDATIONS",
"A house must be built on solid foundations if it is to last. The same principle applies to man” – Sai Baba
Exactly, kwa sababu hata hatujui ndoa ni nini wala kusudi la ndoaTukishajua maana ya ndoa hakika tutajitahidi kujenga foundations imara ili ndoa zetu zisiyumbe.
Shemeji maadili yenyewe yamevaa lubega inakuwa kazi kweli kweli hakuna uchunguzi familia ile ikoje hapo ndio unakumbuka mambo ya chinua na okwonko.Jambo kuu hapo ni kutokutambua ndoa ni nini, nafikiri hapo ndipo panahitaji msisitizo zaidi, tukitambua ndoa ni nini then tujitambue na tujue tunachokiendea.
Mzee mwenzangu naona umefunga mwaka kwa thread iliyojaa pomoni hongera. Kiukweli tutajaribu kuijaziliza lakini imeisha jaa ujazo mkubwa tu maisha ya kuiga yanatusumbua kuna wanandoa vipaumbele vingine mpaka unachoka havina maana ila ndio ndoa inavunjika hivyo achilia mbali uswazi ndoa inaweza kuisha kwa kumnyima bibie pesa za kununua dira la kigodoro.Asante kwa kuongezea ndugu...
Hata akiwa anakudunda? (kidding), miss you galOver expectations hii ni big problem, unamchukulia mwenza km malaika akiteleza kidogo tu unampiga chini ukienda mbele unaona afadhal ulikotoka..mengine yawe yanavumiliwa mana hamna malaika
Mzee mwenzangu naona umefunga mwaka kwa thread iliyojaa pomoni hongera. Kiukweli tutajaribu kuijaziliza lakini imeisha jaa ujazo mkubwa tu maisha ya kuiga yanatusumbua kuna wanandoa vipaumbele vingine mpaka unachoka havina maana ila ndio ndoa inavunjika hivyo achilia mbali uswazi ndoa inaweza kuisha kwa kumnyima bibie pesa za kununua dira la kigodoro.
Hahahahahhaahhaha lol mishuuu tooo....watu wanakufa na tai shingoni lolHata akiwa anakudunda? (kidding), miss you gal
Haha umeanzaaaHahahahahhaahhaha lol mishuuu tooo....watu wanakufa na tai shingoni lol
Kwa sasa suala la uchumi limeleta ufa na kuvunja ndoa nyingi..
Very truemwanamke au mwanaume kuendelea kimapenzi na mtu ambae ameanza nae muda mrefu lakini mwisho wa siku asimuoe!akaendelea nae ijapokuwa ana ndoa au wote wako katika ndoa!kutoachana na X ndio chanzo kikubwa cha kuvuruga ndoa
wengi wanafikiri ndoa ni kugegedana tuuu.....uelewa finyu wa maana halisi ya ndoa ndio tatizo.......
wengi wanafikiri ndoa ni kugegedana tuuu.....uelewa finyu wa maana halisi ya ndoa ndio tatizo.......