Kwanini Mainstream Media za Tanzania zimepuuza kuripoti suala la Anthony Mtaka kutangazwa Rais wa TOC na IOC/ANOCA?

Ni Bashite aliye nyuma ya hili nn??…

Maana Kwa FAIDA ya Media, hii ni HABARI kubwa ambayo ingepelekea kupata Wafuatiliaji wéngi sana na Watu wangetaka kujua nn kilichotokea??.

Lkn Media zimejifanya hazilioni hili
Habari za Olympic zinatuhusu nini sisi walala hoi ambao hatujui kesho yetu?

Ili ufukirie habari za michezo unatakiwa Uwe umeshiba
tupo busy na mambo ya misingi ya maisha ya watanzania.
 
Ni Bashite aliye nyuma ya hili nn??…

Maana Kwa FAIDA ya Media, hii ni HABARI kubwa ambayo ingepelekea kupata Wafuatiliaji wéngi sana na Watu wangetaka kujua nn kilichotokea??.

Lkn Media zimejifanya hazilioni hili
yaani media zideal na porojo kwa kuzingatia mihemko, chuki au hisia zako?🤣

acha mizaha bas gentleman kwenye professionalism 🐒
 
Wataanzia wapi! Wamezoea, vya kunyonga, malikia wao wanayemtukuza aliingia kijambazi, kwa kuiba uchaguzi sasa wakisifia hili tukio zuri la kukemea wizi wa, uchaguzi na aliyeshinda ki haki ndio kapata,wanahofia ku mkera kizimkazi!
 
Ni Bashite aliye nyuma ya hili nn??…

Maana Kwa FAIDA ya Media, hii ni HABARI kubwa ambayo ingepelekea kupata Wafuatiliaji wéngi sana na Watu wangetaka kujua nn kilichotokea??.

Lkn Media zimejifanya hazilioni hili
Media nyingi hapa nchini ziko mfukoni mwa chama twawala.
Kabla ya kutangaza chochote ni lazima kipitiwe na wenyewe Waone kama kina maslahi kwao au la.
 
Huwa nikifuatilia msimamo wa Baraza la Maaskofu Katoliki nchini, TEC na hasa wa katibu wao Padri Kitima, nikaja kuangakia wana chuo maarufu cha wana habari SAUT na ukaangalia idadi ya vyombo vya habari vya wakatoliki na kinachotokea, nabaki kushangaa.
 
Ni Bashite aliye nyuma ya hili nn??…

Maana Kwa FAIDA ya Media, hii ni HABARI kubwa ambayo ingepelekea kupata Wafuatiliaji wéngi sana na Watu wangetaka kujua nn kilichotokea??.

Lkn Media zimejifanya hazilioni hili
Kwani matokeo halisi ni yapo mpaka muda huu? Kuna wakati tuliambiwa Mtaka alishinda lakini mshindi aliyetangazwa ni mwingine! Ukweli halisi ni upi hadi sasa?
 
Vyombo vya habari Tanzania vimejaa unafiki na uchawa. Nilishangaa juzi walipoanza kushupalia issue ya Heche. Yani uvumi wanaulazimisha uwe kweli.
 
yaani media zideal na porojo kwa kuzingatia mihemko, chuki au hisia zako?🤣

acha mizaha bas gentleman kwenye professionalism 🐒

Samahani BOSS, Unamaanisha nini ukisema media hazideal na Porojo????
Wakati Muheshimiwa Anthony Mtaka alitangazwa Rais wa TOC na IOC/ANOCA
Na hata niliona kwenye Gazeti la Citizen na la Tanzania Insight la 9th Jul

"The International Olympic Committee and the African Olympic body have intervened in a contentious leadership dispute in Tanzania, OFFICIALLY recognizing Anthony Mtaka as the legitimate president of the Tanzania Olympic Committee"
 
Gentleman
muhusika hana muda wa kufanya jukumu hilo kwasasa, na ana majukumu mengine mazito zaidi ya kufanya kwa maslahi mapana ya taifa.

Kulikoni hata msio wanachama TOC mnambwelambwela tu mitandaoni hali ya kua wenye chama chao wameridhika na maamuzi yao wanachapa kazi vizuri tu na kusonga mbele?🐒
 
Kwani matokeo halisi ni yapo mpaka muda huu? Kuna wakati tuliambiwa Mtaka alishinda lakini mshindi aliyetangazwa ni mwingine! Ukweli halisi ni upi hadi sasa?
Habari imeandikwa na hili gazeti tu tena kwa juu tuu 🤔
IMG-20260711-WA0007.jpg
 
Ila hii nchi hapana...

Aibu utaona wewe!!!

Hivi unawezaje kumtangaza mshindi mtu aliyepata kura moja?

Tena mbele ya waangalizi wa kimataifa!!!

Hili kichwa papai hapana asee...

Sasa kama unamchukia Mtaka si umuondoe ukuu wa mkoa!!!
 
Wamezoea hao huoni huko kwenye kura za maoni kwenye chama yanatangazwa hata kama yana kura 0
 
Ni Bashite aliye nyuma ya hili nn??…

Maana Kwa FAIDA ya Media, hii ni HABARI kubwa ambayo ingepelekea kupata Wafuatiliaji wéngi sana na Watu wangetaka kujua nn kilichotokea??.

Lkn Media zimejifanya hazilioni hili
Aibu ya tabia za uchakachuzi wachaguzi Tanzania na bitisho vya kutoa taarifa kutoka kwa mtwawala haramu kwani ni kichocheo cha adhabu zaidi dhidi ya uharamia unaofanyowa watanzania zaidi watanganyika!
 
Back
Top Bottom