Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Habari za Olympic zinatuhusu nini sisi walala hoi ambao hatujui kesho yetu?Ni Bashite aliye nyuma ya hili nn??…
Maana Kwa FAIDA ya Media, hii ni HABARI kubwa ambayo ingepelekea kupata Wafuatiliaji wéngi sana na Watu wangetaka kujua nn kilichotokea??.
Lkn Media zimejifanya hazilioni hili
yaani media zideal na porojo kwa kuzingatia mihemko, chuki au hisia zako?🤣Ni Bashite aliye nyuma ya hili nn??…
Maana Kwa FAIDA ya Media, hii ni HABARI kubwa ambayo ingepelekea kupata Wafuatiliaji wéngi sana na Watu wangetaka kujua nn kilichotokea??.
Lkn Media zimejifanya hazilioni hili
Wataanzia wapi! Wamezoea, vya kunyonga, malikia wao wanayemtukuza aliingia kijambazi, kwa kuiba uchaguzi sasa wakisifia hili tukio zuri la kukemea wizi wa, uchaguzi na aliyeshinda ki haki ndio kapata,wanahofia ku mkera kizimkazi!Ni Bashite aliye nyuma ya hili nn??…
Maana Kwa FAIDA ya Media, hii ni HABARI kubwa ambayo ingepelekea kupata Wafuatiliaji wéngi sana na Watu wangetaka kujua nn kilichotokea??.
Lkn Media zimejifanya hazilioni hili
Media nyingi hapa nchini ziko mfukoni mwa chama twawala.Ni Bashite aliye nyuma ya hili nn??…
Maana Kwa FAIDA ya Media, hii ni HABARI kubwa ambayo ingepelekea kupata Wafuatiliaji wéngi sana na Watu wangetaka kujua nn kilichotokea??.
Lkn Media zimejifanya hazilioni hili
Bado mtategemea kuvuna korosho kwenye miti ya michongoma? Mna subira kweli kweliNi Bashite aliye nyuma ya hili nn??…
Maana Kwa FAIDA ya Media, hii ni HABARI kubwa ambayo ingepelekea kupata Wafuatiliaji wéngi sana na Watu wangetaka kujua nn kilichotokea??.
Lkn Media zimejifanya hazilioni hili
Kwani matokeo halisi ni yapo mpaka muda huu? Kuna wakati tuliambiwa Mtaka alishinda lakini mshindi aliyetangazwa ni mwingine! Ukweli halisi ni upi hadi sasa?Ni Bashite aliye nyuma ya hili nn??…
Maana Kwa FAIDA ya Media, hii ni HABARI kubwa ambayo ingepelekea kupata Wafuatiliaji wéngi sana na Watu wangetaka kujua nn kilichotokea??.
Lkn Media zimejifanya hazilioni hili
yaani media zideal na porojo kwa kuzingatia mihemko, chuki au hisia zako?🤣
acha mizaha bas gentleman kwenye professionalism 🐒
GentlemanSamahani BOSS, Unamaanisha nini ukisema media hazideal na Porojo????
Wakati Muheshimiwa Anthony Mtaka alitangazwa Rais wa TOC na IOC/ANOCA
Na hata niliona kwenye Gazeti la Citizen na la Tanzania Insight la 9th Jul
"The International Olympic Committee and the African Olympic body have intervened in a contentious leadership dispute in Tanzania, OFFICIALLY recognizing Anthony Mtaka as the legitimate president of the Tanzania Olympic Committee"
Habari imeandikwa na hili gazeti tu tena kwa juu tuu 🤔Kwani matokeo halisi ni yapo mpaka muda huu? Kuna wakati tuliambiwa Mtaka alishinda lakini mshindi aliyetangazwa ni mwingine! Ukweli halisi ni upi hadi sasa?
Nadhani Mtaka amerejeshewa ushindi.Kwani matokeo halisi ni yapo mpaka muda huu? Kuna wakati tuliambiwa Mtaka alishinda lakini mshindi aliyetangazwa ni mwingine! Ukweli halisi ni upi hadi sasa?
Wamezoea hao huoni huko kwenye kura za maoni kwenye chama yanatangazwa hata kama yana kura 0Ila hii nchi hapana...
Aibu utaona wewe!!!
Hivi unawezaje kumtangaza mshindi mtu aliyepata kura moja?
Tena mbele ya waangalizi wa kimataifa!!!
Hili kichwa papai hapana asee...
Sasa kama unamchukia Mtaka si umuondoe ukuu wa mkoa!!!
Aibu ya tabia za uchakachuzi wachaguzi Tanzania na bitisho vya kutoa taarifa kutoka kwa mtwawala haramu kwani ni kichocheo cha adhabu zaidi dhidi ya uharamia unaofanyowa watanzania zaidi watanganyika!Ni Bashite aliye nyuma ya hili nn??…
Maana Kwa FAIDA ya Media, hii ni HABARI kubwa ambayo ingepelekea kupata Wafuatiliaji wéngi sana na Watu wangetaka kujua nn kilichotokea??.
Lkn Media zimejifanya hazilioni hili