Kwanini makaburi huwa yanachimbwa futi 6?

Kuna uwezekano wakufufuka mzee kama ushawahi angalia bongo muvi ya nsuka kaburi lake lile lilikuwa futi 2 si unaona alivyotoa tu mkono kutoka kwenye kaburi chap tu mkono uko njee
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
1.kuepusha maiti kufukuliwa kirahisi na wanyama kama fisi njaa kali

2.kuepusha adha za mizoga (kunuka harufu kali)

3.kuepusha/kusitiri marehemu kwani ardhi ipumue itakavyopumua lakini mpaka kufikia udongo wa levo aliyopo mtu basi kila kitu kitakuwa kimeoza (si rahisi kuona masalia yake ya mifupa)

4.ni utaratibu uliokutwa yaani uliowekwa tangu enzi mfano kwa waislam kuna maelekezo na maelezo maalumu kabisa ya namna kaburi linavyotakiwa kuwa

5.Hatahivyo, si kweli kwamba ni lazima futi sita bali ni urefu unaokadiriwa tu kwa macho na of course inasemwa tu uwe 'urefu wa kutosha' au kadiri. Nadhani kama wapo wanaopima kina cha kaburi kwa futikamba basi ni wachache sana

6.pia kuna makaburi ya mwendokasi kitu unakuta inakomea kwenye magoti haahaa. Kama huamini angalia andhaa kanoon[emoji23]
 
Hujajibu swali anauliza kwann ziwe fut sita na si pungufu au zaidi? Ingekua pepe una ziro ndugu
 
Hujajibu swali anauliza kwann ziwe fut sita na si pungufu au zaidi? Ingekua pepe una ziro ndugu
Amejibu vizuri isipokua sababu moja ambayo unaitaka wewe hakuitaja ya kwanini futi 6 tuu na si zaidi ya hapo..
Sasa ukiangalia ktk taratibu za mazishi ktk baadhi ya imani nikwamba lazima watu kadhaa waingiemo kweny kaburi ili kupokea mwili wa marehem na kuulaza ndani yake, hivyo futi 6 ndio kina rafiki kabisa kwa watu hao kuweza kuupokea mwili kuliko ingewekwa zaidi ya hapo nadhani hiyo sabab ya kutochimba kina kikubwa said ya futi sita..
 
[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…