Kwanini makaburi huwa yanachimbwa futi 6?

Kwanini makaburi huwa yanachimbwa futi 6?

Wadau mnasema tuu futi 6
Ila kina cha kaburi kinategemea na sehemu.
Kwa mfano ardhi ya kusini Zanzibar ina asili ya jiwe hivyo kaburi mi sijawahi kuona lenye futi 6 huku.
Yaani ukitaka futi 6 yafaa usubiri japo siku 3 kuzipata
 
Kuna vitu vigine ni kuacha tu vipite, kula maisha bro. Hata uzikwe kwenye futi5/7 ukifa umekufa
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mambo ya nsuka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hayo
 
1.kuepusha maiti kufukuliwa kirahisi na wanyama kama fisi njaa kali

2.kuepusha adha za mizoga (kunuka harufu kali)

3.kuepusha/kusitiri marehemu kwani ardhi ipumue itakavyopumua lakini mpaka kufikia udongo wa levo aliyopo mtu basi kila kitu kitakuwa kimeoza (si rahisi kuona masalia yake ya mifupa)

4.ni utaratibu uliokutwa yaani uliowekwa tangu enzi mfano kwa waislam kuna maelekezo na maelezo maalumu kabisa ya namna kaburi linavyotakiwa kuwa

5.Hatahivyo, si kweli kwamba ni lazima futi sita bali ni urefu unaokadiriwa tu kwa macho na of course inasemwa tu uwe 'urefu wa kutosha' au kadiri. Nadhani kama wapo wanaopima kina cha kaburi kwa futikamba basi ni wachache sana

6.pia kuna makaburi ya mwendokasi kitu unakuta inakomea kwenye magoti haahaa. Kama huamini angalia andhaa kanoon[emoji23]
Ahsante sana
 
Mbona mi nimeona huku jana wamechimba less than 3fts
 
Ikiwa pungufu ya hapo wahuni wanaweza kufukua mwili wa marehemu na kusepa nao, ikiwa zaidi ya hapo ni matumizi mabaya ya nguvu. All in all, huu ni utaratibu wa kimapokeo ambao jamii imejiwekea toka enzi.
 
kuna jamaa alifariki na madeni ya watu zaid ya 7+million.sasa wakati wanamzika wanandugu walichimba kina kifupi,usiku wakulungwa walikuja kumfukua wakamuweka juu wakaacha wameandika "tunataka hela yetu".(walikata mkono wa kushoto wakaondoka nao)

nadhani ingekuwa kina kirefu wasingeweza kwa sababu ya muda na wangegundulika haraka wakat wanafukua coz wangetumia muda mrefu

all in all binadamu wabaya sana.inasadikika pia wao ndo walifanya mpango wa kumuua.
 
1.kuepusha maiti kufukuliwa kirahisi na wanyama kama fisi njaa kali

2.kuepusha adha za mizoga (kunuka harufu kali)

3.kuepusha/kusitiri marehemu kwani ardhi ipumue itakavyopumua lakini mpaka kufikia udongo wa levo aliyopo mtu basi kila kitu kitakuwa kimeoza (si rahisi kuona masalia yake ya mifupa)

4.ni utaratibu uliokutwa yaani uliowekwa tangu enzi mfano kwa waislam kuna maelekezo na maelezo maalumu kabisa ya namna kaburi linavyotakiwa kuwa

5.Hatahivyo, si kweli kwamba ni lazima futi sita bali ni urefu unaokadiriwa tu kwa macho na of course inasemwa tu uwe 'urefu wa kutosha' au kadiri. Nadhani kama wapo wanaopima kina cha kaburi kwa futikamba basi ni wachache sana

6.pia kuna makaburi ya mwendokasi kitu unakuta inakomea kwenye magoti haahaa. Kama huamini angalia andhaa kanoon[emoji23]
Kuna watu walizikwa kwenye piramid mpaka leo majeneza yao yapo infact
 
Sijaona majibu ya kitaalam , kuendana na swali lililoulizwa,,
Kwa nn kabuli linachimbwa futi 6
Tega sikio
Kabuli la kiislam,,
Upana uwa tunapima mwili wa marehemu
Kuanzia kidole mbaka utosi
Kisha kipimo anapewa mchimba kabuli

Kuhusu urefu wa kwenda chini
Kipimo ni bega
Kisha kuna mwana ndani
Upana ni unyayo wa mguu

Urefu wa kwenda chini katika mwana ndani
Ni baina ya nyayo na goti la mguu
Mwislam akilazwa Kabulini
Pale kwenye mwana ndani
Mwanaume analala ubavu wa kulia
Kifua kinatakiwa kizame katika mwana ndani

Sasa ukitaka kupima urefu wa kabuli la mwislam
Chukua hiyo,,
Na kwa taarifa yenu,,
Kabuli moja linatakiwa liingie maiti 10
Kama makabuli ni ya umma
Na kabuli la mwislam kujengewa ni makosa
Kama amezikwa katika makabuli ya umma kama
Vile Kisutu nk,,
Ila ukizikwa katika shamba lako maamuzi ya kujengea kabuli litabaki katika familia
Mkijengea sawa mkiacha sawa…
 
Kisutu kumejaa lakini mnalundika tu maiti nyie watu.
 
Back
Top Bottom