Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Bila kupoteza muda naomba niendee moja kwa moja kwenye mada.
Kuna makada na viongozi wa CHADEMA ambao tulitegemea moja kwa moja wangekuwa mstari wa mbele kwenye maandamano haya lakini ni hawajaonekana kabisa.
Yuko wapi Martin Maranja Masese wa Twitter?
Yuko wapi Sugu?
Yuko wapi John Mnyika?
Yuko wapi Mdude Chadema?
Yuko wapi Halima Mdee?
Yuko wapi Hilda Newton?
Ni kwamba wameogopa jeshi la polisi au kuna changamoto wamekutana nayo, kubwa sana kiasi cha kutoonekana kabisa kwenye maandamano?
Mwenye video ya mmoja kati ya hao niliowataja hapo juu naomba awasilishe.
Asante