Kwanini makada hawa wa CHADEMA hatujawaona kwenye maandamano? Shida iko wapi? Au wameogopa?

Kwanini makada hawa wa CHADEMA hatujawaona kwenye maandamano? Shida iko wapi? Au wameogopa?

This is an open ended question mkuu. Either CHADEMA au Polisi wakijibu ni sawa tu.

Sijaweka limit.

Ningekuwa najua ID zao ningewatag kabisa
Swali langu lilikuwa kwenye muundo wa sentensi (not necessarily fact) kwa sababu napenda sana logic. Hivyo, huwa napenda kuangalia uwasilishaji wa hoja.
 
Kwani mdude sio raia wa nchi hii?. Hawezi kukiwakilisha chama chake kwenye uangalizi wa zoez la uboleshaji daftri la kudumu. Punguza hisia hasi dhidi yao.
Kwamba wakashindwa kutenga masaa 12 kwa ajili ya kuungana na wananchi ili kuandamana?

Sasa mtu kama Mdude anahusikaje na daftari la mpiga kura mkuu
 
Mnyika bado yupo kanisani Msimbazi anafanya ibada tokea juzi.
 
Back
Top Bottom