Mwanawe Mbowe hajakamatwaMlisema Mbowe na Lissu hawatakuwepo,leo Mbowe na mwanae wamekamatwa,mnahamisha goli.
Wananchi wamechoka.
Oooh! sawa.Mwanawe Mbowe hajakamatwa
Mlisema Mbowe na Lissu hawatakuwepo,leo Mbowe na mwanae wamekamatwa,mnahamisha goli.
Wananchi wamechoka.
Swali tu la kuuliza, kama hujawaona ndiyo kusema nini? Na usipowaona wa kuuliza ni nani, wao au polisi wanaowakamata?Bila kupoteza muda naomba niendee moja kwa moja kwenye mada.
Kuna makada na viongozi wa CHADEMA ambao tulitegemea moja kwa moja wangekuwa mstari wa mbele kwenye maandamano haya lakini ni hawajaonekana kabisa.
Yuko wapi Martin Maranja Masese wa Twitter?
Yuko wapi Sugu?
Yuko wapi John Mnyika?
Yuko wapi Mdude Chadema?
Yuko wapi Halima Mdee?
Yuko wapi Hilda Newton?
Ni kwamba wameogopa jeshi la polisi au kuna changamoto wamekutana nayo, kubwa sana kiasi cha kutoonekana kabisa kwenye maandamano?
Mwenye video ya mmoja kati ya hao niliowataja hapo juu naomba awasilishe.
Asante
Bila kupoteza muda naomba niendee moja kwa moja kwenye mada.

Lazima ufanye jambo kimkakati huwa kuna Jeshi la mstari wa mbele kuna jeshi la kati na backup troops kwahiyo usitake kujua mikakati ya watu.Bila kupoteza muda naomba niendee moja kwa moja kwenye mada.
Kuna makada na viongozi wa CHADEMA ambao tulitegemea moja kwa moja wangekuwa mstari wa mbele kwenye maandamano haya lakini ni hawajaonekana kabisa.
Yuko wapi Martin Maranja Masese wa Twitter?
Yuko wapi Sugu?
Yuko wapi John Mnyika?
Yuko wapi Mdude Chadema?
Yuko wapi Halima Mdee?
Yuko wapi Hilda Newton?
Ni kwamba wameogopa jeshi la polisi au kuna changamoto wamekutana nayo, kubwa sana kiasi cha kutoonekana kabisa kwenye maandamano?
Mwenye video ya mmoja kati ya hao niliowataja hapo juu naomba awasilishe.
Asante
Swali tu la kuuliza, kama hujawaona ndiyo kusema nini? Na usipowaona wa kuuliza ni nani, wao au polisi wanaowakamata?
Halima Mdee nenda ofisi ndogo za CCM Lumumba utamkutaBila kupoteza muda naomba niendee moja kwa moja kwenye mada.
Kuna makada na viongozi wa CHADEMA ambao tulitegemea moja kwa moja wangekuwa mstari wa mbele kwenye maandamano haya lakini ni hawajaonekana kabisa.
Yuko wapi Martin Maranja Masese wa Twitter?
Yuko wapi Sugu?
Yuko wapi John Mnyika?
Yuko wapi Mdude Chadema?
Yuko wapi Halima Mdee?
Yuko wapi Hilda Newton?
Ni kwamba wameogopa jeshi la polisi au kuna changamoto wamekutana nayo, kubwa sana kiasi cha kutoonekana kabisa kwenye maandamano?
Mwenye video ya mmoja kati ya hao niliowataja hapo juu naomba awasilishe.
Asante
Bila kupoteza muda naomba niendee moja kwa moja kwenye mada.
Kuna makada na viongozi wa CHADEMA ambao tulitegemea moja kwa moja wangekuwa mstari wa mbele kwenye maandamano haya lakini ni hawajaonekana kabisa.
Yuko wapi Martin Maranja Masese wa Twitter?
Yuko wapi Sugu?
Yuko wapi John Mnyika?
Yuko wapi Mdude Chadema?
Yuko wapi Halima Mdee?
Yuko wapi Hilda Newton?
Ni kwamba wameogopa jeshi la polisi au kuna changamoto wamekutana nayo, kubwa sana kiasi cha kutoonekana kabisa kwenye maandamano?
Mwenye video ya mmoja kati ya hao niliowataja hapo juu naomba awasilishe.
Asante
Kwa kweli ajabu sana ila ukiwakuta kwenye mitandao itasema makamanda ndio hawa kumbe ikifika siku ya kuandamana wakiwaza bia ,wanaona bora biaBila kupoteza muda naomba niendee moja kwa moja kwenye mada.
Kuna makada na viongozi wa CHADEMA ambao tulitegemea moja kwa moja wangekuwa mstari wa mbele kwenye maandamano haya lakini ni hawajaonekana kabisa.
Yuko wapi Martin Maranja Masese wa Twitter?
Yuko wapi Sugu?
Yuko wapi John Mnyika?
Yuko wapi Mdude Chadema?
Yuko wapi Halima Mdee?
Yuko wapi Hilda Newton?
Ni kwamba wameogopa jeshi la polisi au kuna changamoto wamekutana nayo, kubwa sana kiasi cha kutoonekana kabisa kwenye maandamano?
Mwenye video ya mmoja kati ya hao niliowataja hapo juu naomba awasilishe.
Asante
Kila mtu yupo ndani kwake tukiandamana online hvy hakuna pichaHamna ka picha au kavideo mkuu, tuone?
Maana kina Mbowe na Lissu tuliwaona wakiwa mstari wa mbele unfortunately wakakamatwa
Lazima ufanye jambo kimkakati huwa kuna Jeshi la mstari wa mbele kuna jeshi la kati na backup troops kwahiyo usitake kujua mikakati ya watu.
Wapo kwenye majukumu mengine ya kichama ikiwemo kuandaa mawakala wa kusimamia zoezi zima la uandikiswaji na uboleshaji wa daftari la mpiga kura.
Ila hii Manchester United ya mwaka huu sijui kama itapona kushuka daraja. Mechi 5 imedondosha point 8 na bado hajakutana na wale top 5 kila mwaka. Kimahesabu imeshashuka daraja (5X3)x2=30(Home and Away)+8(zilizokwisha dondoka)=38. Lengo la hizi hesabu ni kuwatahadharisha mashabiki wote wa Man U mjiandae kisaikolojia.Bila kupoteza muda naomba niendee moja kwa moja kwenye mada.