Nyani Mzungu
Member
- May 29, 2020
- 45
- 58
Nimejaribu kuangalia jinsi Nyalandu alivyojipanga na hii kasi ya kutia Nia lakni naona makada wapo kimya sioni ata comment hasa kwa wabunge wa Chadema na makada wengine wakongwe
CHADEMA kina mchango gani kwa Nyalandu kama chama maana kijana anatumia pesa si mchezo naona anatishia kasi ya Peter Msigwa kabla hata ya kura za maoni
Najiuliza tu kijana anatoa pesa zake mfukoni kwa kampeni hizo ata hajapitishwa, anafanya vitu kana kwamba ana uhakika wa kushinda
Wakati ukiangalia mioyo na matamanio ya wanachadema ni jembe kutoka Ubelgiji .
Makada wengi wa CHADEMA wamekuwa wakipositi picha za Lissu kwa shauku kubwa na huku wakisema watakuwa nae bega kwa bega ,mvua inyeshe jua liwake lazima Hon Tundu Antipas Lissu achukue Nondo za Magogoni.
Najiuliza Tu Nyalandu anatoa wapi kiburi cha kujihakikishia kiti ndani ya CHADEMA.
View attachment 1504628
View attachment 1504631