Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Wanaogopa ya Lowasa kuuza mechi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ameacha hizo milioni 300 kwa sababu anazo zingine trilioni tatu kwani biashara ya nyara za serikali sio mchezo alafu unajumlisha na vitalu vya kuwindia acha bwana. Sasa hivi tunashangaa tembo wamejazana wanahamia mijini hata wale waliokimbia nchi wamerudi kutoka Msumbiji.Ondoa shaka, huyu ni wa dhati! Ameacha zaidi ya mamilioni 300 za kustaafu, ujue ana nia kweli na sidhani kama ni mbinu za ccm kuulaghai uma kuwa amejiuzulu! He is serious
Umeandika ushabiki wa kitoto! Kwaheri!A
Ameacha hizo milioni 300 kwa sababu anazo zingine trilioni tatu kwani biashara ya nyara za serikali sio mchezo alafu unajumlisha na vitalu vya kuwindia acha bwana. Sasa hivi tunashangaa tembo wamejazana wanahamia mijini hata wale waliokimbia nchi wamerudi kutoka Msumbiji.
Mbowe sio Founder.Umtoe Founder kwenye taasisi serious
Tumeshanyatwa na nyota kila jani likitugusa tunakimbia. TUNAYE LISSU WETU. THIS TIME HATUNA KUKOPA MGOMBEA.Nimejaribu kuangalia jinsi Nyalandu alivyojipanga na hii kasi ya kutia Nia lakni naona makada wapo kimya sioni ata comment hasa kwa wabunge wa Chadema na makada wengine wakongwe
CHADEMA kina mchango gani kwa Nyalandu kama chama maana kijana anatumia pesa si mchezo naona anatishia kasi ya Peter Msigwa kabla hata ya kura za maoni
Najiuliza tu kijana anatoa pesa zake mfukoni kwa kampeni hizo ata hajapitishwa, anafanya vitu kana kwamba ana uhakika wa kushinda
Wakati ukiangalia mioyo na matamanio ya wanachadema ni jembe kutoka Ubelgiji .
Makada wengi wa CHADEMA wamekuwa wakipositi picha za Lissu kwa shauku kubwa na huku wakisema watakuwa nae bega kwa bega ,mvua inyeshe jua liwake lazima Hon Tundu Antipas Lissu achukue Nondo za Magogoni.
Najiuliza Tu Nyalandu anatoa wapi kiburi cha kujihakikishia kiti ndani ya CHADEMA.
View attachment 1504533
View attachment 1504628
View attachment 1504631
Tatizo Chadema wengi hamjui kitu mnachafua watu bila sababu kama Mlivyomchafua Kinana baadae makamuomba Msamaha.A
Ameacha hizo milioni 300 kwa sababu anazo zingine trilioni tatu kwani biashara ya nyara za serikali sio mchezo alafu unajumlisha na vitalu vya kuwindia acha bwana. Sasa hivi tunashangaa tembo wamejazana wanahamia mijini hata wale waliokimbia nchi wamerudi kutoka Msumbiji.
Nimejaribu kuangalia jinsi Nyalandu alivyojipanga na hii kasi ya kutia Nia lakni naona makada wapo kimya sioni ata comment hasa kwa wabunge wa Chadema na makada wengine wakongwe
CHADEMA kina mchango gani kwa Nyalandu kama chama maana kijana anatumia pesa si mchezo naona anatishia kasi ya Peter Msigwa kabla hata ya kura za maoni
Najiuliza tu kijana anatoa pesa zake mfukoni kwa kampeni hizo ata hajapitishwa, anafanya vitu kana kwamba ana uhakika wa kushinda
Wakati ukiangalia mioyo na matamanio ya wanachadema ni jembe kutoka Ubelgiji .
Makada wengi wa CHADEMA wamekuwa wakipositi picha za Lissu kwa shauku kubwa na huku wakisema watakuwa nae bega kwa bega ,mvua inyeshe jua liwake lazima Hon Tundu Antipas Lissu achukue Nondo za Magogoni.
Najiuliza Tu Nyalandu anatoa wapi kiburi cha kujihakikishia kiti ndani ya CHADEMA.
View attachment 1504533
View attachment 1504628
View attachment 1504631
Umenena ndiyo maana huyu Nyarandu anatia Nia kwa kiburi cha speed ya Lami
Amerudi kabla ya 2022Ameshakubaliana na Mbowe kuwa yeye Nyalandu ndio atakayepitishwa. Na ndio sababu ya Mbowe kuchukua fomu. Mbowe kachukua fomu ili kushawishi mkutano mkuu, umkate yeye kama mwenyekiti na umkate pia Makamu wake ambae ni Lissu. Watakaobaki top 3, Nyalandu ataonekana ndio anafaa. Atapitishwa.
Sayansi ya Mbowe ni kwamba Team Lissu wakija kulalamika, wajibiwe kuwa mbona Mwamba ambae ni mwenyekiti kakatwa na katulia, kama ni kuumizwa na serikali wote waliumizwa, tena yeye kapoteza mali (mashamba, billicans, gazeti n.k). Hayo ndio yatakuwa majibu ya utetezi.
Kiufupi CCM wamemtisha Mbowe asimpitishe Lissu kwa kusingizia kwamba atanyimwa dhamani na ataishia mahabusu bila kufanya kampeni. Mbowe kalegea, na kakubali.
Kumbe ni janja ya CCM , wanaogopa uthubutu wa Lissu tu.
Na wamemuahidi Nyalandu na Mbowe kuwa mgombea akiwa Nyalandu hawatambugudhi, ndio maana unaona hata Clouds na radio, TV zinamtangaza Nyalandu bila shida.
Halafu kwa wanaosema Nyalandu sio sawa na Lowassa, wasubiri 2022, Nyalandu atarudi CCM.
MBOWE kakosea sana kuitupa karata ya Lissu.
CCM wangecheza mziki mnene na hata hiyo mahabusu wangeogopa kumuweka, umma ukiamka.
Anyway naihurumia CDM, na upinzani maana ACT yupo Membe.
Wanamabadiliko hatuna chetu Tz politics. Ni CCM ina run vivuli vyote.
Nyalandu Muigizaji, Mtu makin Upinzani ni Mmoja