Heart Wood.
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 990
- 1,190
Hata kama ndio kafa bado itakuwa usumbufu.Wanazani umekufa ndo maana wanampa mtu mwingine
Mimi naona hapo wenyewe wanataka Namba iwe active wajuwe idadi ya watu wanaotumia mtandao huoHata kama ndio kafa bado itakuwa usumbufu.
Mbona Bank account ukifa inafungwa mazima na hapewi mtu mwingine. Ama mitandao ya simu wana technology ya kugundua wafuWanazani umekufa ndo maana wanampa mtu mwingine
Kwa kifupi kinachofanywa ni uhuni. Si waunde namba mpya wampe mteja, kwani lazima ambayo imeshatumika? Wakitaka kujua namba zipi zipo active si system inaonyesha? Wenzetu wapo ktk teknolojia ya AI sisi bado tunagombania cheap.Kuna namba yangu ya simu nilikuwa siitumii for almost 3 years kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu. Baadae nikagundua ile namba amepewa mteja mwingine. Just imagine nimeitumia namba ile for almost 10 years, halafu kampuni husika inaamua kuigawa kwa mteja mwingine. Jamaa na ndugu zangu wakawa wanaipiga namba ile inaitika kwa mtu mwingine. Hii ikawa kero kubwa.
Kama hiyo haitoshi, juzi kati hapa nimesajili namba nyingine ya Mtandao mmoja hivi wa simu, kila siku napokea simu atleast 3 za watu wanaonipigia ambao hatufahamiani kabisa, watu hao wanaulizia jina la mtu ambaye nimebaini itakuwa ni mtu aliyekuwa akiitumia namba hii miaka ya nyuma.
Swali langu sasa: Ni kwa nini Makampuni ya simu yanalazimika kuhuisha namba za simu za wateja wa zamani na kuwapa wateja wapya? Je, teknolojia imeshindwa kutumika kuanzisha namba mpya na kuachana na namba zilizotumika zamani? HII IMEKUWA NI KERO KUBWA SANA kwa Observations zangu.
Stop this please.!
Jamaa wahuni mno. Watu wapo mbali kusonga mbele wao wanalazimisha namba hii iwe activeMbona Bank account ukifa inafungwa mazima na hapewi mtu mwingine. Ama mitandao ya simu wana technology ya kugundua wafu
Kama inafutwa kwa nini namba hiyohiyo hupewa tena mtu mwingine?Hii ni kwa makampuni yote ya simu,
Kama hujaitumia laini yako kwa miezi sita, namba inafutwa sokoni.
Hii inafanyika ili kutoa takwimu halisi za watumiaji wa simu.
Wanazingua sana. Nikienda nchi flani kusoma miaka 3, nikirudi nakuta namba si yangu tenaKuna namba yangu ya simu nilikuwa siitumii for almost 3 years kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu. Baadae nikagundua ile namba amepewa mteja mwingine. Just imagine nimeitumia namba ile for almost 10 years, halafu kampuni husika inaamua kuigawa kwa mteja mwingine. Jamaa na ndugu zangu wakawa wanaipiga namba ile inaitika kwa mtu mwingine. Hii ikawa kero kubwa.
Kama hiyo haitoshi, juzi kati hapa nimesajili namba nyingine ya Mtandao mmoja hivi wa simu, kila siku napokea simu atleast 3 za watu wanaonipigia ambao hatufahamiani kabisa, watu hao wanaulizia jina la mtu ambaye nimebaini itakuwa ni mtu aliyekuwa akiitumia namba hii miaka ya nyuma.
Swali langu sasa: Ni kwa nini Makampuni ya simu yanalazimika kuhuisha namba za simu za wateja wa zamani na kuwapa wateja wapya? Je, teknolojia imeshindwa kutumika kuanzisha namba mpya na kuachana na namba zilizotumika zamani? HII IMEKUWA NI KERO KUBWA SANA kwa Observations zangu.
Stop this please.!
Ukienda Vodacom unaweza kupata io 35k yako. Japo namba hutorudishiwaHiki kitendo kibaya sana mimi VODACOM walitoa namba yangu kwa mtu ikiwana naTshs 35,000. Nikawahama mazima sintokuja kutumia VODACOm maisha yangu yoote.
Ukosahihi mkuu. Mimi kuna watu walituma michango ya harusi kwa mwingine wakifikiri ni mimi kumbe jamaa yupo Kigoma anapokea michango mimi nipo Dsm kutokana na kugawa na ya mtu kwa mteja mpyaKuna namba yangu ya simu nilikuwa siitumii for almost 3 years kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu. Baadae nikagundua ile namba amepewa mteja mwingine. Just imagine nimeitumia namba ile for almost 10 years, halafu kampuni husika inaamua kuigawa kwa mteja mwingine. Jamaa na ndugu zangu wakawa wanaipiga namba ile inaitika kwa mtu mwingine. Hii ikawa kero kubwa.
Kama hiyo haitoshi, juzi kati hapa nimesajili namba nyingine ya Mtandao mmoja hivi wa simu, kila siku napokea simu atleast 3 za watu wanaonipigia ambao hatufahamiani kabisa, watu hao wanaulizia jina la mtu ambaye nimebaini itakuwa ni mtu aliyekuwa akiitumia namba hii miaka ya nyuma.
Swali langu sasa: Ni kwa nini Makampuni ya simu yanalazimika kuhuisha namba za simu za wateja wa zamani na kuwapa wateja wapya? Je, teknolojia imeshindwa kutumika kuanzisha namba mpya na kuachana na namba zilizotumika zamani? HII IMEKUWA NI KERO KUBWA SANA kwa Observations zangu.
Stop this please.!
Ushawahi ONA QR code inayojirudia kwa mtu zaidi ya mmoja? Hilo ni kosa kisheria unaweza ukawashtaki ukiwa km data subject ingawa kuna Sheria Ile ilikua inasema usipoitumia zaidi ya Miezi 3/6 wanaifungaWanazani umekufa ndo maana wanampa mtu mwingine
Namba za simu ni depletable resource, zinaisha siyo infinite.Kuna namba yangu ya simu nilikuwa siitumii for almost 3 years kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu. Baadae nikagundua ile namba amepewa mteja mwingine. Just imagine nimeitumia namba ile for almost 10 years, halafu kampuni husika inaamua kuigawa kwa mteja mwingine. Jamaa na ndugu zangu wakawa wanaipiga namba ile inaitika kwa mtu mwingine. Hii ikawa kero kubwa.
Kama hiyo haitoshi, juzi kati hapa nimesajili namba nyingine ya Mtandao mmoja hivi wa simu, kila siku napokea simu atleast 3 za watu wanaonipigia ambao hatufahamiani kabisa, watu hao wanaulizia jina la mtu ambaye nimebaini itakuwa ni mtu aliyekuwa akiitumia namba hii miaka ya nyuma.
Swali langu sasa: Ni kwa nini Makampuni ya simu yanalazimika kuhuisha namba za simu za wateja wa zamani na kuwapa wateja wapya? Je, teknolojia imeshindwa kutumika kuanzisha namba mpya na kuachana na namba zilizotumika zamani? HII IMEKUWA NI KERO KUBWA SANA kwa Observations zangu.
Stop this please.!
Kuna kitu wanaita "Mobile prefix"Kama inafutwa kwa nini namba hiyohiyo hupewa tena mtu mwingine?