Heart Wood.
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 982
- 1,179
- Thread starter
- #21
Kutok
Je, umezitazama changamoto za wateja wapya kutumia namba zilizotumika na wateja wa zamani na kujiridhisha kuwa changamoto hizo kwa wateja ni kitu cha kawaida tu ukilinganisha na hasara wanayoikwepa?
Unadhani ubunifu pekee wa kukabiliana na changamoto ya kulipia hicho unachoita masafa mapya ni kuwapa wateja wapya namba za wateja wa zamani? Wamekosa kuja na ufumbuzi mpya zaidi ya huo?Kuna kitu wanaita "Mobile prefix"
Mfano vodacom wana
074*******(kuna laini zina anzia 0743*,0744*,0746**** na kuendelea)
075*******(kuna laini zina anzia 0754*, 0755*, 0756*, 0757*,0758*,0759***)
076*******(kuna laini zina anzia 0767******, 0768*******, )
Ni sawa na masafa ya radio/TV
Haya masafa/ hizi codes kampuni za simu ziomba kutoka TCRA na wanalipia.
Sasa basi,
Kutorudisha namba ya zamani kwa mwingine ni kujaza hayo masafa na wao kulazimika kuomba masafa mengine labda 077*******.
Je, umezitazama changamoto za wateja wapya kutumia namba zilizotumika na wateja wa zamani na kujiridhisha kuwa changamoto hizo kwa wateja ni kitu cha kawaida tu ukilinganisha na hasara wanayoikwepa?