gcmmedia
Member
- Jul 19, 2024
- 34
- 75
Kuna nyakati naona jumbe kupewa gawio na mtandao wa simu, unakuta ni kama Sh 38 n.k.
Naomba kuuliza, mimi si mwanahisa wa kampuni ya simu yoyote, ni mteja tu.
Kwa nini wanajipa gawio? Kiasi cha gawio hutolewa kwa vigezo vipi?
Kampuni ya simu inalenga nini kutoa gawio kwa wateja wake (gawio si “kurudisha kwa jamii” - corporate social responsibility).
Naombeni elimu juu ya masuala haya.