Kwanini makampuni ya simu yanatoa magawio?

Kwanini makampuni ya simu yanatoa magawio?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Fanya miamala dear. Mimi huwa sio haba, Mara ya mwisho kagawio nilienda kukata kitambaa nkashona kagauni kangu freshh. IIa hela ya mashono haikutoka hapoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Weeeee kumbe???!!! Dah sijawahi pata hata sh 100 nyingi sana ni 67.

Basi hapo ukute nimeamka usingizini nakutana na TIGOPESA umepokea nasmileee.....mara gawio sh 23 nasonya.
 
Huenda ukiacha pesa muda mrefu kwenye line ndio unapata gawio kubwa kidogo, tofauti na kufanya miamala mingi
 
Weeeee kumbe???!!! Dah sijawahi pata hata sh 100 nyingi sana ni 67.

Basi hapo ukute nimeamka usingizini nakutana na TIGOPESA umepokea nasmileee.....mara gawio sh 23 nasonya.
Mimi nikionaga sms ya gawio tu huwa naanza kudance πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
 
Back
Top Bottom