Kwanini makampuni ya simu yanatoa magawio?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Fanya miamala dear. Mimi huwa sio haba, Mara ya mwisho kagawio nilienda kukata kitambaa nkashona kagauni kangu freshh. IIa hela ya mashono haikutoka hapoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Weeeee kumbe???!!! Dah sijawahi pata hata sh 100 nyingi sana ni 67.

Basi hapo ukute nimeamka usingizini nakutana na TIGOPESA umepokea nasmileee.....mara gawio sh 23 nasonya.
 
Huenda ukiacha pesa muda mrefu kwenye line ndio unapata gawio kubwa kidogo, tofauti na kufanya miamala mingi
 
Gawio linategemea na miamala yako, Kuna watu wanapata Hadi 50k.
Kwa mfano mawakala wa kifedha huwa wanapata magawio makubwa kwa sababu line zao zinafanya transaction nyingi
Hee kumbe huwa wanapewa...
 
Weeeee kumbe???!!! Dah sijawahi pata hata sh 100 nyingi sana ni 67.

Basi hapo ukute nimeamka usingizini nakutana na TIGOPESA umepokea nasmileee.....mara gawio sh 23 nasonya.
Mimi nikionaga sms ya gawio tu huwa naanza kudance πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…