round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
TTCL wapo karibia kila mkoa, labda wilayani ndio hawapo. Simbanet/Liquid/Raha wapo Nchi nzima ila wanatarget wafanyabiashara most of time bei zako hazigusiki kwa mtu wa kawaida.Airtek Fibre
Halotel Fibre
Yas Fibre
Liquid
Simba net
Zuku
Go Fibre
n.k.
wamejazana DSM hawaoni potential kutanua soko lao mikoani ?
Nani kakudanganya, Mikoani pia kuna watumishi wa taasisi zinazolipa mishahara mizuri, wafanya biashara nao wapo.Huko mikoani hamna hela!
TTCL wapo lakini utendaji upo chini sana, watumishi wameridhika, hadi waje kukufungia internet ni shughuli pevu sio ya kitoto, pia coverage ni ndogo, hizi taasisi za serikali watu wakiwa na uhakika wa mishahara wanaridhika hawapendi kusumbuliwa.TTCL wapo karibia kila mkoa, labda wilayani ndio hawapo. Simbanet/Liquid/Raha wapo Nchi nzima ila wanatarget wafanyabiashara most of time bei zako hazigusiki kwa mtu wa kawaida.
Fiber Gharama Ngumu kupeleka maneno ambayo population yenye uwezo wa ku Afford ni ndogo.
Umejaribu mkoani? Huku Tanga wao ndo wanakusumbua waje kukufungia.TTCL wapo lakini utendaji upo chini sana, watumishi wameridhika, hadi waje kukufungia internet ni shughuli pevu sio ya kitoto, pia coverage ni ndogo, hizi taasisi za serikali watu wakiwa na uhakika wa mishahara wanaridhika hawapendi kusumbuliwa.
Hili shirika libinafisishwe tu hamna namnaTTCL wapo lakini utendaji upo chini sana, watumishi wameridhika, hadi waje kukufungia internet ni shughuli pevu sio ya kitoto, pia coverage ni ndogo, hizi taasisi za serikali watu wakiwa na uhakika wa mishahara wanaridhika hawapendi kusumbuliwa.
Tumia HABARI NODE wako vizuriAirtek Fibre
Halotel Fibre
Yas Fibre
Liquid
Simba net
Zuku
Go Fibre
n.k.
TTCL wapo lakini utendaji upo chini sana, watumishi wameridhika, hadi waje kukufungia internet ni shughuli pevu sio ya kitoto, pia upatikanaji (coverage) ni kwa maeneo machache.
hayo makampuni mengine yaliyojazana DSM hawaoni potential kutanua soko lao mikoani ?
Mhh hako ka sticker uwa kananikumbushia kitu flani au basi......Na nyie mnataka fibre za nn😹
Punguza ngenye😹🙌🏾Mhh hako ka sticker uwa kananikumbushia kitu flani au basi......