Kwanini makampuni yanayosambaza Fibre internet wametususia mikoani ?

Kwanini makampuni yanayosambaza Fibre internet wametususia mikoani ?

‼️OFA ‼️*OFA‼️ya Ramadan
UKINUNUA KWA MARA YA KWANZA NAKUPA GB1 BURE, PIA UKILETA MTEJA MPYA1 AKANUNUA KUANZIA GB2, UNAPATA GB1 BURE.

HALOTEL WIKI2
Gb2 kwa 3000
Gb3 kwa 4000
Gb4 kwa 5000

HALOTEL MWEZI
Gb5 kwa 6000
Gb7 kwa 8000
Gb9 kwa 10,000
Gb10 kwa 11,000
Gb14 kwa 15,000
Gb15 kwa 17,000
Gb18 kwa 20,000

Ukiwa na mda wa maongezi wa halotel hata ikiwa laki njoo nikupe hera
0618370992
 
Fiber inahitaji kuchimba chini kuweka waya za fiber kila sehemu, gharama ni kubwa sana na haileti maana kupeleka fibe huko hata nchi "zilizoendelea" maeneo kama hayo hautakuta fiber.

Wireless za aina mbalimbali 4G/5G/satellite etc zina spidi nzuri siku hizi na zinafaa matumizi mengi.

Kwa shirika kama TTCL kusambaza internet nchi nzima siyo vigumu sana kwa maana wameruhusiwa kutumia baadhi ya miundombinu ya Tanesco kama vile nguzo..na pia kuagiza vifaa nje ya nchi wana unafuu mkubwa tofauti na kampuni binafsi...

Ttcl wakichangamka watakuwa vinara kwenye huduma ya fiber
 
Back
Top Bottom