Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,629
- 5,262
Duu kaka mnatudharau sana watu wa mikoan ila tupo tunaoishi kuliko ninyi na na vizir vyote tunavyoMkoani mnajua Netflix ,Prime video ,TED au Showmax? Apps za VOD mnazo? Wengi mkoa mnatumia Miswaswadu ,hamna Laptop wala Smart TV sasa internet mtaitumia wapi?
huku Dar ni tabu tupu mwezi wa pili huu wapo kimyaUmejaribu mkoani? Huku Tanga wao ndo wanakusumbua waje kukufungia.
Fiber inahitaji kuchimba chini kuweka waya za fiber kila sehemu, gharama ni kubwa sana na haileti maana kupeleka fibe huko hata nchi "zilizoendelea" maeneo kama hayo hautakuta fiber.
Wireless za aina mbalimbali 4G/5G/satellite etc zina spidi nzuri siku hizi na zinafaa matumizi mengi.
Kwa shirika kama TTCL kusambaza internet nchi nzima siyo vigumu sana kwa maana wameruhusiwa kutumia baadhi ya miundombinu ya Tanesco kama vile nguzo..na pia kuagiza vifaa nje ya nchi wana unafuu mkubwa tofauti na kampuni binafsi...Fiber inahitaji kuchimba chini kuweka waya za fiber kila sehemu, gharama ni kubwa sana na haileti maana kupeleka fibe huko hata nchi "zilizoendelea" maeneo kama hayo hautakuta fiber.
Wireless za aina mbalimbali 4G/5G/satellite etc zina spidi nzuri siku hizi na zinafaa matumizi mengi.