Subiri miaka mitatu utawaona tu, kuna kocha wa prison fc kuna kocha wa costal na wengine wengi ndio wanafanya ligi iwe ngumu ko ni suala la muda tu kama hujaelewa waulize watu wa simba fc
nauliza,ni kwanini makocha wa mpira wa miguu wa kitanzania,hawaendinkufundisha nje ya nchi?makocha wa wakenya na warundi wanafundisha hapa kwetu,wakwetu vipi?