Kwanini Makocha wa Kitanzania hawaendi kufundisha nje ya nchi?

Kwanini Makocha wa Kitanzania hawaendi kufundisha nje ya nchi?

fimboyaasali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
8,617
Reaction score
8,244
Nauliza, ni kwanini makocha wa mpira wa miguu wa Kitanzania, hawaendi kufundisha nje ya nchi?

Makocha wa Wakenya na Warundi wanafundisha hapa kwetu, wa kwetu vipi?
 
Subiri miaka mitatu utawaona tu, kuna kocha wa prison fc kuna kocha wa costal na wengine wengi ndio wanafanya ligi iwe ngumu ko ni suala la muda tu kama hujaelewa waulize watu wa simba fc
 
Subiri miaka mitatu utawaona tu, kuna kocha wa prison fc kuna kocha wa costal na wengine wengi ndio wanafanya ligi iwe ngumu ko ni suala la muda tu kama hujaelewa waulize watu wa simba fc
Kwa maoni haya nakukubalia new coaches baadhi wako vzr
 
Sasa uende kufundisha mpira Kenya au Burundi ambako ligi ni dhaifu, na mshahara kupata ni shida...
 
Back
Top Bottom