GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na wakoloni wazungu na waarabu waliokuja Africa na kuwachapa babu zetu mijeledi na bakora nao walikua wakitokea kwenye family za kiafrica zenye tabia ya child abuse?Waafrika tunatumia Sana nguvu kuliko akili.Thus madikteta wengi wapo afrika.
Madikteta wote ni matokeo ya child abuse.Ukatili wowote atendewayo mtoto utotoni
(kupigwa,viboko,kutukanwa,kunyanyaswa,kuteswa,nk)akiwa kiongozi ni lzm awe dikteta,sabaya jiwe ni kielelezo cha malezi ya ukatili utotoni.
" Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " GENTAMYCINE.Naona umeacha kuwa unajitaja taja as if you are someone special
" [COLOR=rgb(184, 49, 47
Wewe Mwenyewe ambaye Unanichukia 'Kunakotukuka' GENTAMYCINE lakini kutwa ukiwa JamiiForums huachi 'Kunikodolea' QUOTE]I don't hate you,but I dislike you,hate is a disease.
Mwafrika bila kiboko aendi,mbona lipo wazi.Nani anawajibika pasipo kusukumwa.Sio utamaduni wetu kuwajibikaNa wakoloni wazungu na waarabu waliokuja Africa na kuwachapa babu zetu mijeledi na bakora nao walikua wakitokea kwenye family za kiafrica zenye tabia ya child abuse?
Ila kumbuka kuwa wakati hao wazungu wanakuja kutuchukua na kuitawala africa tayari walikua na maendeleo kutuzidi. Kwa hiyo utawala wao ulianzia kwenye uchumiImeandikwa. Usimnyime mtoto bakora .
Hamna viumbe waloharibikiwa kama Wazungu wenu hao.
Wanachotuzidi ni Maendeleo tu yalotokana na unyonyaji na matumizi ya mwafrika kama Mjenzi .