Kwanini Makuzi ya Mtoto wa Kiafrika 100% ni Bakora na Adhabu, ila ya Mzungu ni 100% Maelekezo na Ushauri?

Yes
Hivi kuna mwana JamiiForums aliyepigwa Bakora za 'Kishalubela' na kupewa Adhabu Kali kuanzia Shuleni na hadi Kitaani kama Mimi?

Ni kwanini Watoto wengi wa Kiafrika (hasa Kitanzania) tunakuzwa zaidi kwa Fimbo (Bakora) na Adhabu Kali ndipo tunanyooka na kuwa na 'Maadili' tofauti na Watoto wa Kizungu?

Leo nitakuwa Msomaji tu zaidi wa 'Comments' zenu hapa huku nikikumbuka Bakora nilizolambwa na Adhabu Kali nilizopewa nikiwa Mtoto ili ninyooke na hakika zimeninyoosha hasa.
 
Nadhani aina ya vyakula tunavyokula havikidhi viwango vinakosa viini lishe
 
Kuna dhana mbili hapa lazima tutofautishe; brutal whipping na strict parenting.

Unaweza usiwe mkali kwa mtoto kivile kwa maana ya lugha ya kufokafoka au viboko ila ukawa very strict..mpaka mtoto mwenyewe akakaa kwny mstari hilo linawezekana hata Africa.

Na ule sasa utandikaji WA fimbo.ambao kiuhalisia hausadii kuleta nidham ya dhati isipokuwa nidhamu ya hofu tu
na mazao ya nidhamu hizi wote tuyashuhudia ukubwani.

Ndiyo hayo sasa viongozi kutoka local authorities wakinusa tu ujio WA magufuli au samia; oooh barabara zote zitakwanguliwa, mifereji itazibuliwa, wazabuni watalipwa nk
 
Sababu kubwa ni mazingira ya makuzi au malezi. Wazungu kwao kuna system ambayo ndio inayomlea mtoto, mzazi hana influence sana katika malezi ya mtoto esp akishaanza shule system inatake over. Kibongo nongo hakuna cha system wala nini ndio maana tunatumia nguvu na mabavu kuhakikisha watoto wanakaa kwwnye mstari. Japo nikiri kuna makabila kama wamasai nk nk ambao wana system zao za malezi na zinafanya kazi.
 
Hivi kuna mwana JamiiForums aliyepigwa Bakora za 'Kishalubela' na kupewa Adhabu Kali kuanzia Shuleni na hadi Kitaani kama Mimi?

Ni kwanini Watoto wengi wa Kiafrika (hasa Kitanzania) tunakuzwa zaidi kwa Fimbo (Bakora) na Adhabu Kali ndipo tunanyooka na kuwa na 'Maadili' tofauti na Watoto wa Kizungu?

Leo nitakuwa Msomaji tu zaidi wa 'Comments' zenu hapa huku nikikumbuka Bakora nilizolambwa na Adhabu Kali nilizopewa nikiwa Mtoto ili ninyooke na hakika zimeninyoosha hasa.
Usidanganywe, Wazungu wana practise sana corporal punishment ni kama kuamini hamna wazungu maskini kisa wanatoa misaada Afrika na movie/news zao hawaoneshi hivyo vitu.
 
Imeandikwa. Usimnyime mtoto bakora .

Hamna viumbe waloharibikiwa kama Wazungu wenu hao.

Wanachotuzidi ni Maendeleo tu yalotokana na unyonyaji na matumizi ya mwafrika kama Mjenzi .
kuharibikiwa kwa wazungu haikupi uhalali wewe mzazi/mlezi mwafrika kuchapa bakora watoto wako.

wapo watoto wa kiafrika waliochapwa sana na wazazi wao, baadhi yao walipokuwa watu wazima wakaishia kuwa mateja na wale wa kiume wakaishia kuwa wasenge.
 
Back
Top Bottom