Hivi kuna mwana JamiiForums aliyepigwa Bakora za 'Kishalubela' na kupewa Adhabu Kali kuanzia Shuleni na hadi Kitaani kama Mimi?
Ni kwanini Watoto wengi wa Kiafrika (hasa Kitanzania) tunakuzwa zaidi kwa Fimbo (Bakora) na Adhabu Kali ndipo tunanyooka na kuwa na 'Maadili' tofauti na Watoto wa Kizungu?
Leo nitakuwa Msomaji tu zaidi wa 'Comments' zenu hapa huku nikikumbuka Bakora nilizolambwa na Adhabu Kali nilizopewa nikiwa Mtoto ili ninyooke na hakika zimeninyoosha hasa.
Nadhani aina ya vyakula tunavyokula havikidhi viwango vinakosa viini lisheHivi kuna mwana JamiiForums aliyepigwa Bakora za 'Kishalubela' na kupewa Adhabu Kali kuanzia Shuleni na hadi Kitaani kama Mimi?
Ni kwanini Watoto wengi wa Kiafrika (hasa Kitanzania) tunakuzwa zaidi kwa Fimbo (Bakora) na Adhabu Kali ndipo tunanyooka na kuwa na 'Maadili' tofauti na Watoto wa Kizungu?
Leo nitakuwa Msomaji tu zaidi wa 'Comments' zenu hapa huku nikikumbuka Bakora nilizolambwa na Adhabu Kali nilizopewa nikiwa Mtoto ili ninyooke na hakika zimeninyoosha hasa.
Usidanganywe, Wazungu wana practise sana corporal punishment ni kama kuamini hamna wazungu maskini kisa wanatoa misaada Afrika na movie/news zao hawaoneshi hivyo vitu.Hivi kuna mwana JamiiForums aliyepigwa Bakora za 'Kishalubela' na kupewa Adhabu Kali kuanzia Shuleni na hadi Kitaani kama Mimi?
Ni kwanini Watoto wengi wa Kiafrika (hasa Kitanzania) tunakuzwa zaidi kwa Fimbo (Bakora) na Adhabu Kali ndipo tunanyooka na kuwa na 'Maadili' tofauti na Watoto wa Kizungu?
Leo nitakuwa Msomaji tu zaidi wa 'Comments' zenu hapa huku nikikumbuka Bakora nilizolambwa na Adhabu Kali nilizopewa nikiwa Mtoto ili ninyooke na hakika zimeninyoosha hasa.
kuharibikiwa kwa wazungu haikupi uhalali wewe mzazi/mlezi mwafrika kuchapa bakora watoto wako.Imeandikwa. Usimnyime mtoto bakora .
Hamna viumbe waloharibikiwa kama Wazungu wenu hao.
Wanachotuzidi ni Maendeleo tu yalotokana na unyonyaji na matumizi ya mwafrika kama Mjenzi .