Kwanini Mamlaka ya Rais yapunguzwe katika Katiba Mpya?

Kwanini Mamlaka ya Rais yapunguzwe katika Katiba Mpya?

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
01 Agosti 2022

Rais kupunguziwa madaraka siyo inamfanya kuwa dhaifu bali inampa uimara.

Uwiano mihimili ya dola: bunge, mahakama na serikali kuu / legislative, executive and judicial .

Teuzi za wateuliwa wa rais ni nyingi kupita kiasi na kusababisha mkwamo , hadi wateuliwa wanajiuliza je nitumikie wananchi au rais aliyeniteua.

Chanzo: Mwanzo
 
CCM wakisikia Rais kupunguziwa kazi wanajua yalaaah uchaguzi tumeshashindwa🤣
 
Lissu ni gifted person.... kuhusu masanduku ya Pesa yaliyokutwa ofisini kwa Magufuli kuna mpwa wa Magu ambaye alipendwa mno na Magufuli na kuaminiwa sana alikimbia na sanduku la madolari. Hata hivyo Janeth aliambulia maana anazigawa vibaya sana kwa marafiki... ukimtembelea hukosi $500.
 
Wameshafanya "editing" kwenye hiyo video hayo maongezi ya masanduku ya pesa hayapo.
 
Wameshafanya "editing" kwenye hiyo video hayo maongezi ya masanduku ya pesa hayapo.
Janeth amelalamika sio maramoja au mbili kwa watu wake wakaribu kuwa huyo bwanamdogo alikimbia na pesa na Samia alizuia na kupoka mahela mengi mno ndo maana Janeth ana kisirani cha hali ya juu na Samia.

Unaambiwa waliokua wakinunuliwa hasa wabunge walipelekewa pesa kwenye maboksi, isingekua rahisi watu walafi na wenye tamaa aina ya Lipumba au Yule zamwamwa Molel kuyakataa hayo mapesa.
 
Back
Top Bottom