Kwanini Mandela hakumsamehe mkewe Winnie?

Upo sahihi... Kuna kipande cha video siku anasherehekea miaka 80 daaa utadhani Mama wa miaka 40.Alijua kujitunza na Mungu alimpatia urembo wa asili....
 
Asante mpwa kwa ufunuo murua,Watanzania hupenda kusoma vijigazeti na vijarida vya udaku kama vile Mwanahalisi,Raia Mwema,Ijumaa,Kiu n.k lakini eti tununue vitabu kama hivyo na tuvisome inakuwa shida sana,tunashukuru angalau umetupa dondoo kidogo RIP Tata Madiba ,RIP Mama Winnie Mandela
 
Nimetoka kumuangalia huyo Dali Mpofu...asee mbaba handsome huyoo! Ilikuwa vigumu Winnie kummwaga kisa eti Mandela katoka gerezani! Ngumu mnooo nimevaa viatu vya Winnie[emoji849][emoji849][emoji848][emoji16][emoji16]
 
Tatizo mama aliendeleza dyudyu na kijana mmoja nje hata baada ya Mzee ku toka jela
 

Nikianza na Evelyn. Huyu mama alikuwa ni wa dini ya Mashahidi wa Yehova ambao hawajihusishi kabisa na mambo ya siasa, na harakati yeyote ya ukombozi au kutetea haki ambayo itatia ndani umwagaji damu au kudhuru binadamu wengine. Msimamo wa Mashahidi wa Yehova ni kwamba binadamu hapaswi kulipiza kisasi hata pale anapoonewa, kama vile tu Yesu alivyoonewa hadi kuuwawa japo, kama alivyosema yeye, ingewezekana kwa Mungu kuleta majeshi ya Malaika ili kumuokoa. Mashahidi wa Yehova wanaamini juu ya mazungumzo ya amani au vyombo vya sheria kuwa njia pekee ya kutafuta suluhisho la mgogoro au kutoelewana kokote kule, na haya yakishindikana basi "kisasi ni cha Mungu, si wanadamu". Huu ndio msimamo wa Evelyn kwa Mandela ambao ulifanya Mandela amwache. Kumbuka ni Mandela alimwacha Evelyn, sio kwamba Evelyn alimwacha Mandela. Siku ya msiba wa Evelyn Mandela alimsifia Evelyn na Mashahidi wa Yehova.

Tukija kwa Winnie; katika context ya Evelyn, inaonekana kwamba Winnie alikuwa analalamikia kilekile ambacho Evelyn alisimamia. Winnie alijua kwamba Mandela ni mpigania uhuru, hivyo hakupaswa kulalamika kuwa Mandela hakuwapo kwa ajili ya familia yake. Winnie alijua alikuwa anafunga ndoa na mtu wa namna gani, na ni wazi alijua kwa nini Mandela aliamua kumwacha Evelyn.

Lakini mbaya zaidi, inasemekana kuna wakati Winnie alikuwa akibishana na Mandela hadi alimchaba vibao, na hata Mandela akasema kama angesema mambo yote ambayo Winnie alimfanyia ulimwengu ungeshangaa!

Kwa hiyo Mandela alikuwa na sababu tosha za kumwacha Winnie, na za msingi kabisa zaidi hata ya sababu za kumwacha Evelyn.
 
Lazima Winnie alimtongoza Dali Mpofu...

Mbaba handsome la kufa mtu
 
Aisee, mapenzi ni kitu complex sana kiukweli wanandoa wana siri nyingi Sana ndani yao.

Huyu dada hata hapaswi kulaumiwa maana alihitaji company ya mwanaume anayemtosheleza. The issue kwamba imebumbuluka au vp hiyo ni issue nyingine. 27yrs sio mchezo
 
Ulitaka kumdali mpofu nini[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
 
Asante mkuu!!
Hujawahi kuniangusha hapa Jf kwa mabandiko yako,kila siku unaleta mambo mapya na mazuri.Nimejifunza jambo kubwa sna hapa kwa andiko lako.

Kweli hakuna jasiri mbele ya mapenzi
 
Hakuwa na makosa ya kuzidi ,ila naona tu madiba aliamua isiwe tabu ,afate kilicho bora zaidi.

Nyinyi wanaume wa leo tu, mtu akilea miezi 6 ushachepuka na madada hata6.
Sema mama winnie alikosea kuendeleza libeneke
Na kwa miaka yote ile gerezani,isingekuwa rahisi kwa Winnie kubaki mpweke,lkn maumivu ya Madiba ni kuona mkewe analiwa na vijana wadogo kama huyo sijui Dalali
 
dali mpofu , Martin Kadinda, steve nyerere , Daud Konda etc hatari sana.
 
Miaka 27 nyingi wewe kkkuuummmaaa itaoza na bui bui watajenga nyumba humo kama haiguswi... [emoji23]
Mm nimelewa. Baada ya Mandela kutoka gerezani bado huyu mwanamama aliendelea kucheat kitu ambacho Mandela hakukipenda.
Siku zote mwanamke huamini neno msamaha ni pamoja na kurudiana.
 
Thanks for this touching post Comrade; and you know what? You're 99.9% CORRECT.

Honestly speaking; the last thing I'd do in this matter is to blame Winnie. The time when Mandela was arrested, Winnie was only 26... a very active age sexually!! And though politics made him to always be close to men, but she managed to be out of relationship scandals for 27 years except above said scandal!

Si kazi nyepesi! And I can argue she tried to her level best to respect Tata and maintain his image!

Winnie missed what all people want and she'd to find it!

Anyway, I can also understand Mandela. He felt betrayed... fine!

Lakini kama ningekuwa Mandela ningejiuliza kwanza ni kwanini some ANCs tried hard to make sure he (Mandela) knows what Winnie was doing behind his back!

Ningejiuliza, hadi wanafikia kuvujisha barua ya Winnie (if it's really 100% bonafide genuine) ni kwa sababu tu wanampenda sana Mandela au kwa sababu hawakutaka kuona Winnie anaendelea ku-excel!

Mzee Mandela angetumia akili ku-judge badala ya emotions; soon angegundua it's a struggle for power in the future!

Watu walishaona kutokana na umri, Mzee Mandela asingekaa sana madarakani.

Hapa watu waliona wazi kwamba, after Nelson Mandela; Winnie alikuwa ndie more favorable future candidate.

Baada ya kuona hivyo, wapigania madaraka hawakuona namna nyingine zaidi ya kum-expose so as to discredit her!

Kwa bahati mbaya kabisa; Mzee Mandela akaingia kwenye mtego... akatumika bila mwenyewe kujijua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…