barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,880
Labda mie ndie sielewi,lakini nimeandika kuwa mada hii ipo kwenye gazeti la Mwananchi na mtandao wa Mybroadband wa Afrika Kusini(Jf yao).Lakini hawa wote nao wame-copy toka katika kitabu cha John Carlin cha "KNOWING NELSON MANDELA" .Mleta uzi amecopy na kupaste akijifanya ni yake! Hakuonyesha umahiri wowote wa kuleta mada. Walau angejihangaisha kusummarize tu!
Mimi nilichofanya ni kuleta na maneno yake ya Kingereza,kwa hiyo hata muandishi wa kwenye Mwananchi alipaswa pia kusema amechukua sehemu ya kazi ya Carlin.Sijaelewa malalamiko yako ni nini?
Ingia hapa na wewe upate ladha yake ya asili Revealed: Why Nelson Mandela never forgave ex-wife, Winnie